What a Sad Story

Kweli kabisa na hawa dada wetu wa kileo weekend inabidi umruhusu na yeye afurahie weekend yake hata hujui alienda wapi? anafanya nini?hapo sijui utakuwa unapimaje?.

Huuh! Ni wakati wa watu kuburuzwa mahakamani ili liwe funzo kwa wengine.

Utampima Ukimwi anapoanza kazi baada ya hapo utampima kila baada ya mwezi?

inasikitisha sana,,,Jamani kina mama muwe makini na ma house girl!
Siyo watoto tu, wanawaambukiza sana pia Waume zenu!

Housegirl huyo wamuulize vizuri. Kwa mtu wa kawaida - siyo kichaa au mchawi mara nyingi hawezi kufanya hivyo. Atakuwa alibakwa na baba fulani alipokuwa akifanya kazi mahali fulani kabla ya hapo, akaambukizwa. Ana hasira na maisha, ana hasira na waajiri, ana hasira hasira hasira na kazipeleka kwa mtoto.
Nawapa pole wazazi. Ila pia wazazi wa siku hizi tumezidi - kuondoka alfajiri kurudi usiku. Inakuwaje baba au mama usione mtoto ana kidonda cha kuchanjwa kila siku? Manake kulingana na mtoa mada hakufanya mara moja!
Kila mzazi ahakikishe halali kabla hajaongea na watoto, siyo tu kuongea bali kuwahoji na kuwasikiliza. Watoto huwa wanasema yoooote wakipewa nafasi. Kama huamini jaribu. Kuna physical na psychological abuse wanapata watoto kutoka kwa caregivers. Tena aliyesema utafute ndugu ndiyo kabisa wanastarehe wanaacha mtoto na diaper ya mavi mpaka yakauke matakoni, na ugali wako wanakula!
Jamani kama umezaa watoto wajibika. Lea wanao na hakuna wa kukusaidia.
Kwa mara nyingine, poleni sana wahusika.

we unaongea kama vile huyajui maisha haya ya bongo. Sio wote wanaopenda kuwaacha watoto na housegirl, maisha ni magumu ndo maana watu tunahangaika usiku na mchana. Na huyo mtoto ni kichanga wala sio mtoto wa kuweza kusema, kwa hiyo usiwalaumu wazazi kwa kurudi usiku ila hapo ni kumwomba Mungu atuepushe na hili balaa, coz one day nawe utakuwa mzazi, so tujifunze wakati wote kuwa na wasiwasi na mazingira tunayowaaacha wapendwa watoto wetu. tusiridhike na hawa watu hata kama tunawaamini, kujaribiwa ni mara moja,

inasikitisha sana,,,Jamani kina mama muwe makini na ma house girl!
Siyo watoto tu, wanawaambukiza sana pia Waume zenu!

Rejao umenicheesha kweli ingawa nina masikitiko makubwa. Na pia inawezekana kabisa huyu dada aliambukizwa na mwajiri wake wa awali, na hivyo ana hasira na waajiri wote, so anafanya kulipiza kisasi bila kujua anawaumiza wasio na hatia.

Housegirl huyo wamuulize vizuri. Kwa mtu wa kawaida - siyo kichaa au mchawi mara nyingi hawezi kufanya hivyo. Atakuwa alibakwa na baba fulani alipokuwa akifanya kazi mahali fulani kabla ya hapo, akaambukizwa. Ana hasira na maisha, ana hasira na waajiri, ana hasira hasira hasira na kazipeleka kwa mtoto.
Nawapa pole wazazi. Ila pia wazazi wa siku hizi tumezidi - kuondoka alfajiri kurudi usiku. Inakuwaje baba au mama usione mtoto ana kidonda cha kuchanjwa kila siku? Manake kulingana na mtoa mada hakufanya mara moja!
Kila mzazi ahakikishe halali kabla hajaongea na watoto, siyo tu kuongea bali kuwahoji na kuwasikiliza. Watoto huwa wanasema yoooote wakipewa nafasi. Kama huamini jaribu. Kuna physical na psychological abuse wanapata watoto kutoka kwa caregivers. Tena aliyesema utafute ndugu ndiyo kabisa wanastarehe wanaacha mtoto na diaper ya mavi mpaka yakauke matakoni, na ugali wako wanakula!
Jamani kama umezaa watoto wajibika. Lea wanao na hakuna wa kukusaidia.
Kwa mara nyingine, poleni sana wahusika.
Chupaku usemayo ni sawa kabisa, wazazi wengine wakirudi nyumbani, mtoto akijisaidia utasikia dadaaaa mtoto amekunya, akikojoa dadaaa mtoto amekojoa, akiwa na njaa dadaaaa mpe mtoto chakula yaani utadhani yeye sio mtoto wake, hii inamfanya house girl kuchukia hata kazi hiyo na hasa kumchukia mtoto, hata akiumwa hajali, wanawake wenzangu hebutuadilike jamani, miezi tisa unamlea mtoto tumboni mwako, labor tuaenda sisi, sasa upendo kwa watoto wetu tena ni issue, hivi wazazi wetu wangetulea style hii tungefika hapa tulipo, Mungu atusamehe sana wazazi kwani hata watoto wanakosa upendo wa wazazi wao tunawanyima haki yao jamani

Very sad story. Pole kwa wahusika. Nendeni kwa watumishi wa Mungu watamwombea mtoto naye atapona kabisa!

Hii ni kali tena babu kubwa looooooooooo, malaika wa watu hana kosa jamani, MUNGU amponye malaika wetu.

Wewe uko tayari kupimwa kwa nguvu ati kisa kazi? Kwa kuwa hapana sheria ya kulazimisha upimaji hiv kwa nguvu basi na mahouse girl hawatakiwi kuwa subjected to involuntary testing.

By the way alichofanya huyo mdada si ubinadamu ni kwamba malipo yake Mwenyezi Mungu anajua. Na hii inaweza fanywa na yeyote yule, mfano partner anayefahamu status yake na kwa makusudi anasex na mwenzake aliye negative purposefully kumwambukiza, ama wale ma-nurse na medical personnel wanaowainject wagonjwa/maadui zao damu zenye maambukizi (kuna visa hivyo)

Mimi nilikuwa naonyesha kuwa suala la kumpima mtu halina msingi. Kwanza utampima mara ngapi? Pili sheria za kazi haziruhusu watu kupimwa kwa nguvu. Badala yake mie napendekeza bibie afikishwe kwenye vyombo vya sheria ili na wengine wapate funzo kuwa wanachokifanya si haki

Jesus Christ!! Ni kisasi au? Jamani huyo mtoto.....yaani roho imeniuma kama vile ni wangu. Wazazi poleni jamani.

we unaongea kama vile huyajui maisha haya ya bongo. Sio wote wanaopenda kuwaacha watoto na housegirl, maisha ni magumu ndo maana watu tunahangaika usiku na mchana. Na huyo mtoto ni kichanga wala sio mtoto wa kuweza kusema, kwa hiyo usiwalaumu wazazi kwa kurudi usiku ila hapo ni kumwomba Mungu atuepushe na hili balaa, coz one day nawe utakuwa mzazi, so tujifunze wakati wote kuwa na wasiwasi na mazingira tunayowaaacha wapendwa watoto wetu. tusiridhike na hawa watu hata kama tunawaamini, kujaribiwa ni mara moja,

mmmh hapo nakataa mtoto mchanga utamuachaje nyumbani, hv ww unamjua mtoto mchanga kweli? Labda kama ulikua na maana nyingine.

mmmh hapo nakataa mtoto mchanga utamuachaje nyumbani, hv ww unamjua mtoto mchanga kweli? Labda kama ulikua na maana nyingine.

sasa mtoto wa miezi minne utamwitaje kama si kichanga? You people mnanishangaza sana. Mama anajifungua, then after 3 months maternity leave imemalizika anatakiwa kuanza kazi, hata kama anafanya kazi kwa nusu siku si tayari keshamuacha huyu mtoto nyumbani?

This is very bad. Imeniuma sana, kusema ukweli mimi siwapendi hawa beki tatu maana waliifrustrate familia yetu baada ya msure kumzini mfanyakazi wa ndani. Ikawa full fujo hamna wa kumsikiliza mwenzake ndani. Hapo niliapa kwangu no helper tutafanya wenyewe na my wife wangu

hahahaaa, wewe umenifurahisha sana. Eti unamchukia beki 3, wakati babako ndo alimzini msichana, na kwa nini usimchukie babako? Nyie wanaume ndo mnatuletea matatizo yote haya

Wakati mwingine huwa ni chuki ya House girl kwa manyanyaso ya mabosi wao. Utakuta anakula makombo, mshahara halipwi, kutukanwa kila wakati nk. Haiwezekani sehemu mtu wanamjali akawafanyia kitendo kama hichi cha unyama tena kwa Malaika hasie na hatia.

Maisha yamekua so complicated sasa hasa inapohusisha watoto wetu..

mtihani saana... Roho imeniuma saaana kuhusu huyo malaika... Huyo

binti nae house gal nafikiri yuko so frustrated na ugonjwa mpaka

kufanya roho mbaya hivo.... Dah! Pole zao wazazi jamani...

NINGEKUWA GEREZANI JINSI MIMBA INAVYOHANGAISHA AF MTU AFANYE HIVYO MMMH! NA HG INAELEKEA ALIFANYIWA UNYAMA NDO MANA ALIFANYA HIVYO,AU MAMA WA MTOTO ALIKUWA ANAMZINGUA!JAMANI JAMANI,UUW

inasikitisha sana,,,Jamani kina mama muwe makini na ma house girl!

Siyo watoto tu, wanawaambukiza sana pia Waume zenu!

HAHAHHA UMENENA VYEMA ASEE!ILA WABABA WENGI WANAJITAKIAGA WENYEWE WANAWABAKA MABEKI3 WANAWAPA HIV AF MIMBA KISHA WANAWATIMUA,KISA MALA NYINGI HG HAWANA PA KULALAMIKIA

Kweli huyu girl ni mnyama na anastahili adhabu,ili kuonya na watu wengine wenye roho usiyokuwa na utu,bina damu gani huyu asiye waza wala kujali wenzake?hastahi kukaa miongoni mwawatu.

Kweli huyu girl ni mnyama na anastahili adhabu,ili kuonya na watu wengine wenye roho usiyokuwa na utu,bina damu gani huyu asiye waza wala kujali wenzake?hastahi kukaa miongoni mwawatu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom