Jamani Housegirl wangu Huyu, Ananitafuta ubaya! (STRICTLY KWA WANAUME TU)

Ikimbieni zinaa, usichezecheze nayo. Itakuangusha tu. Ili kulinda ndoa yako mtimue huyo house girl. Asiwepo karibu na wewe. Atakuangusha huyo, shauri yako.
 
housegirl keshakuzidi akili na hivi ana mwanga kidogo wa elimu, itakulaje kwako!!!!??? be carefully man!!!
 
housegirl keshakuzidi akili na hivi ana mwanga kidogo wa elimu, itakulaje kwako!!!!??? be carefully man!!!
Na inaonekana kajidhatiti kaja kikazi, na usikute kajiogesha madawa ya kienyeji tangu kwao ili akiingia tu baba mwenye nyumba astuke, embu ajiulize miaka yoye hiyo tangu ameishi na mkewe mpaka wana watoto wanne leo aje kupata mstuko kwa huyu?
 
Duh! Gagaaa!, nitakosaje mistress bongo hii, mshikaji mmoja namdai pesa ananizingusha kila siku mwingine kafukuzwa kazi akiwa bado kunilipa, ukiacha hizo maisha yamepanda bei unapata pesa kinachofanyika hukioni kabisa, mafuta ya kupangia foleni, ufisadi kila sehemu, umeme ndio hivyo tena kibao.. lakini si hoja ya hii mada najitahidi sana kucontrol stress ili maisha yaende kwani hakuna side B of life
Embu nenda huko basi kaondoe hizo stress mwache mama wa watu aishi kwa amani
 
Tena uwe mwangalifu kweli mkuu kwani hao watoto wa Singida wanatia kishawishi kwelikweli. Miaka ya 90 niliwahi pata h/girl toka Singida, alikuwa mchokozi kweli kweli mpaka nikaanguka katika dhambi.
 
Tena uwe mwangalifu kweli mkuu kwani hao watoto wa Singida wanatia kishawishi kwelikweli. Miaka ya 90 niliwahi pata h/girl toka Singida, alikuwa mchokozi kweli kweli mpaka nikaanguka katika dhambi.

hahahah pole mkuu uzuri ni kwamba ukianguka kuna nafasi ya kuinuka tena na kuendelea
 
Na inaonekana kajidhatiti kaja kikazi, na usikute kajiogesha madawa ya kienyeji tangu kwao ili akiingia tu baba mwenye nyumba astuke, embu ajiulize miaka yoye hiyo tangu ameishi na mkewe mpaka wana watoto wanne leo aje kupata mstuko kwa huyu?
ndio hapo sasa!! we mtu anapikiwa hata ambavyo havikuwa kwenye ratiba ya mlo wa siku hiyo!!! ni nini zaidi kinachoongezwa kwenye hiyo chai ya maziwa anayoandaliwa faster faster wakati maza house hayupo??
 
Tena uwe mwangalifu kweli mkuu kwani hao watoto wa Singida wanatia kishawishi kwelikweli. Miaka ya 90 niliwahi pata h/girl toka Singida, alikuwa mchokozi kweli kweli mpaka nikaanguka katika dhambi.
<br />
<br />
mzeepunch ukapunch kweli
 
Kaka mi mkristo.. sojui kwa waislam ikoje... ila bibilia inatuambia hivi...IKIMBIE ZINAA....
kimbia sana wala usiangqlie nyuma.. tenampaka sasa uko katiaka hatua za mwisho za kuanguka.... kaka RUN AWAY.. FASTER...
 
Sijafanya bado ila mambo yanavyokwenda nona umuhimu wa kuweka mikakati ya kutoanguka katika jaribu hili. Samahani wewe ni mwanaume au mwanamke?
hiyo ndiyo singida baba hebu isome vizuri geografia yake nawafahamu vizuri kaza buti utanasa na upupu akupulizie
 
Ndugu yangu kaza shingo.....naamini wanaume tunauwezo wakujizuia iwapo una nia...usimtimue bali jaribu uwe serious ukiona analeta mitego mweke chini umrekebishe kimawaidha ajiheshimu na aheshimu chance aliyopewa hapo nyumbani...kwa maisha yake. Kingine muignore....ataacha kukuzngua.
 
in abundance of water, a fool is thirsty... robert nesta marley in rat race!
anakuwaje na njaa na mkewe yupo?
hivi bado hii thread ni ya wababa tu?
Wanawake wako wengi sana mtaani huko kama unataka ''kupoza njaa''. Huyo housegirl mission yake kwako si tu kufanya ngono zembe na wewe la hasha. Kazi ni kwako!
 
naona unataka kubomoa nyumba yako kwa sululu mkuu, Of all girls never ever do with Hg,
 
Back
Top Bottom