Hujafa haujaumbika - God's Great | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hujafa haujaumbika - God's Great

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Dec 30, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Mapacha wawili walioungana kiwiliwili, Maria Mwakikuti (kushoto) na Consolata Mwakikuti (kulia) wakipata chakula pamoja wakati wa hafla ya kuwapongeza kwa kufaulu mtihani wa Darasa la Saba iliyofanyika katika Hospitali ya Misheni Ikonda Makete.
   

  Attached Files:

 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  This makes me rethink about this thing called life...
  Thanks El Toro
   
 3. B

  Belyo Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni utukufu wa mungu. Mungu yupo na mungu ni mkuu aweza kufanya anavyotaka yeye.
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  tujiulize tulio wazima tulimpa Mungu rushwa gani?
   
 5. J

  J Lee Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mungu kwa kuniumba mzima, na uwape rehema watoto walio ktk hali hii
   
 6. emmathy

  emmathy Senior Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mungu wape uvumilivu watoto hawa ilii watimize ndoto zao. Ujenzi wa miundombinu yetu izingatie mahitji ya wote ili kumfanya kila mmoja afurahie kuishi.
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  Nilipenda confidence ya hawa watoto jana! Mungu aendelee kuwabariki. Amen
   
 8. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Still puzzled why anyone would think there is a devine creation.
   
 9. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mitihani ya Mungu hiyo. Anayopanga ndiyo yanayokuwa
   
 10. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao madogo dah wamenikanyaga mtimani ile mbaya hawawezi kutenganishwa hawa?
   
 11. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  bwaa yesu mungu wangu ninayekuamini naomba uwasaidie hawa binti zako wapate faraja na kutimiza ndoto zao maishani na hata milele
   
 12. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tuzidi kuwaombea kwa Mungu...
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  hata mm nimeingiwa na imani,

  DJ najifunza English kwa bidii embu nisaidie hapa kwenye red kuko sahihi?

  Dear Lord, you've done took so many of my people but I'm just wonderin' why
  You haven't taken my life?
   
 14. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  Amen
   
 15. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Niliwaona wakati wana miaka miwili, walezi wao wamefanya kazi kubwa sana, Mungu awape maisha marefu.
   
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kwa mujibu wa Dr. wao hawawezi kutenganishwa kwani kuna baadhi ya vitu wanashare haswa kuanzia tumboni,kila mmoja ana mguu mmoja... Japo wote wana mikono miwili kila mmoja... mtoto mmoja alikuwa anaandika kwenye Dawati mwingine juu ya tumbo la mwenzake...Yaani wakijaribu kuwatenganisha tu tu ndio itakuwa mwisho wao... MUNGU WAJALIE MAISHA MAREFU!!!...
   
 17. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Mungu wetu yu mwema awajalie maisha marefu.
   
 18. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Kwa ushauri wangu pia wangetoa akaunti namba kwa ajili ya wasamaria wema kuwasaidia watoto hawa.
   
 19. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inakuwaje jibaba nguli?
  hiyo ni one of the least used tenses in english jibaba hiyo inatumika kwenye situation kama hizi
  * When it's important to say which event happened first in the past
  * In reported speech
  * To show regret about the past
  * In conditional (if) sentences
  hope nimeku highlight kidogo mjita lakini si unaelewa kimombo chetu cha kitabata tabata!
   
 20. L

  Leornado JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Dah aisee, i am proud of them. Mungu azidi kuwalinda na kuwaepusha na maradhi. It gud kuona wanaendelea vizuri na ni jukumu letu wote kuwatunza sio serikali au kanisa tuu.
   
Loading...