Story nzuri kuna mafunzo ndan yake katka hali ya maisha ya kawaida kwa vijana wa sasa nimejifunza kitu kuwa vijana wa siku hizi ukitoa msaada kwa jinsia tofauti mawazo ya wengi ni mawazo tofauti ya kuchepuka lkn hapa nimejifunza kuwa msimamo ni kitu cha msingi sana kwa sababu bila msimamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.