Sina nyota ya kukataliwa na mwanamke

Sina nyota ya kukataliwa na mwanamke

tangazo hili au,,,?
Inategemea umechukuliaje mkuu
Wacha weeee.....
Uhali gain mkuu
Unatongoza wale wanaofanana na wewe .......na hujakumbuka vizuri haiwezekani usikataliwe............
Ni ngumu sana kuamini
bila shaka unatongoza wanawake wa ajabuajabu, ambao hawajielewi....
Wasiojielewa Sina time nao mkuu
Hakuna kitu kama hiko hata Brad Pitt ana asioweza kuwapata....unless uwe unatongoza 'wanyonge wako only'

Wanyonge wako vipi mkuu
 
Dah hongera kwa kujijali.. ila kuwa makini mkuu, maana siku hizi si kama zama za miaka ya tisini, aliyeukwaa unamjua hata bila kutumia darubini. Zama hizi kuna ARV`s.

ukimwi sikuhizi ni sawa na malaria tu sio ugonjwa tena. mi mbona ninao mwaka wa sita sasa.
 
Habari wanna Jukwaa pendwa MMU


Sijui kama ni kawaida au jambo la ajabu.

Kila mwanamke ninayemtongoza hajawahi kunikatalia, yaani natongoza Majibu yanatiki ndani ya Siku mbili tu.

Sihongi wala nini natema maneno tu.


Kwa kweli nashangaa.


Wakuu kama mambo haya yanahusiana na mambo ya nyota tafadhali nielewesheni.
Una jini linaitwa 'I need more dead people ulmatwafirkufa' ,likemee haraka
 
Dah!!Hongera mkuu kwa kutokataliwa na kila demu umtongozaye!!
 
Wewe mpaka utongoze?? Mimi nimewachoka kwa jinsi wanavyo jitongozesha.
 
Wewe ni tapel wa mapenzi hao wote wanaokukubali mnatapeliana tu hakuna mapenzi hapo ungekuwa sio tapeli ungekuwa hutongozi hovyo
 
Back
Top Bottom