Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Nilihisi kukumiss Honey Faith
Ok endelea kuhisi
Last edited by a moderator:
Nilihisi kukumiss Honey Faith
Thanx sana miss ngatara! Mimi niliinjoi sana kuwa nanyi wkt wa wote story!
So pole kwanza,but ningependa utwambie means hawa watu huna mawasiliano nao kabisa till today?
Ooh jaman ndio imeisha kwa kweli ni ya kusisimua. Andika kitabu Mkuu based on a true story!the end
Story nzuri kuna mafunzo ndan yake katka hali ya maisha ya kawaida kwa vijana wa sasa nimejifunza kitu kuwa vijana wa siku hizi ukitoa msaada kwa jinsia tofauti mawazo ya wengi ni mawazo tofauti ya kuchepuka lkn hapa nimejifunza kuwa msimamo ni kitu cha msingi sana kwa sababu bila msimamo ingekua stori nyingine sasa ivi
anaweza kukutana lakini wakiwa katika hali gani....................Kichaa, mgonjwa na mambo yasiyowezekana kulazinisha game..............Ili? Unajua wakikutana jamaa lazima alazimishe game..