Misa ya kumuaga marehemu Sr. Kapuli wa parokia ya Makoka aliyepigwa risasi

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
547
70
Wapendwa wana jf
leo inafanyika ibada ya kumwaga dada yetu mpendwa sr kapuli wa parokia ya makoka aliyepigwa risasi na kupoteza uhai wake tumwombee kwa mungu aweze kupumzika kwa amani
 

Attachments

  • 1403773619118.jpg
    1403773619118.jpg
    135.1 KB · Views: 582
  • 1403773910294.jpg
    1403773910294.jpg
    91.9 KB · Views: 538
Kova aachie ngazi, kwanini miongozi inayoshindwa kufanya kazi vizuri haijiuzulu kusidi wenye uwezo washike hatamu?

RIP sister!
 
r.i.p sista..hao wahalifu watalipwa hapa hapa duniani inshaallah
 
Wapendwa wana jf
leo inafanyika ibada ya kumwaga dada yetu mpendwa sr kapuli wa parokia ya makoka aliyepigwa risasi na kupoteza uhai wake tumwombee kwa mungu aweze kupumzika kwa amani

mtoa misa saa ngapi wengine tupo hapa ubungo tungependa kuhudhuria.
 
ndio nimefika nyumbani kutoka kanisani makoka kwenye ibada ya kumuaga sista Kapuli watu walikuwa wengi sana. Ibada iliongozwa na askofu Nzigilwa, Mdoe na Nyaisonga, maelfu ya watu walihudhuria pamoja na IGP Mangu.
 
RIP sister, Mwenyezi Mungu ailaze ROHO yako mahali pema peponi, Mungu atafanya kazi kwa wakati wake.
 
Pumzika kwa amani Sr, Mungu huwachukua anaowapenda na huwaacha anaowataka!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom