Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Mkuu nilikuwa nakuona kwenye corridor ya JF ukichangia thread nyingine nikahisi umetupotezea, asante kwa kutuendelezea habari hii, ila alhamic mbali a
nyway tunawaita wote
nilikuskia Foundation, kuna mtu alikuuliza nadhani jana, kuwa sionekani, ukamjibu kuwa umeniona nimechangia uzi fulani, nipo ila nilitingwa na kazi! Si unajua ajira ni kama ndoa, mwajiri akiamua anakutumia style yyt ile anayoona inafaaa! siwezi kuwapotezea, tumetoka mbali mkuu!
Tarime one, saa sina uhakika, ila nitakuita mkuu!Jtatu,jne,jtano mpaka alhamis mh!nilikua nahesabu siku,hujatwambia saa.
Tarime one, saa sina uhakika, ila nitakuita mkuu!