Hahahahahahahaaaaa!!! You made my day.
Ongea na mwanasheria wako Mkuu. Lazima kutakuwa na kifungu kinachohusu wewe kuchezewa kwa hiari wakati unamchezea mwenzako. Kama sikosei ni faini ya Milion 1 au Jela miaka miwili au vyote kwa pamoja.
Wakome kukuchezea... Allllaaaaaaaahhh!!!!!!
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kachezewaaaaaa...maskini kapoteza bi...ra ya kaka wa watu
Duuh, Mwanaume umechezewa na kuachwa. Hebu ni PM nikusaidie kama kweli alikuchezea.
hahahahaha hiyo ni nature tu mungu aliumba sie tuwafwate nyie kwanza ndio tugegedane,ila nyie mnai-abuse kwa kutupiga mihela lione,tena wewe inaonyesha bila miaka 2 ya kupiga mingo na mihela kibao ya shopping na vocha hujagegedwa :cool2: :cool2: :cool2:Ha ha ha ha tatizo lenu mnashoboka kutufata ndio maana tunawapiga miela kibao
Ahsante Sana kwa ushauri WakoMecheka sana japo leo nilikuwa sina mood kabisa ya kucheka,
La muhimu kaka yangu ni kumsamehe tu maana anaonekana alikuwa ana nia ya kukuacha toka muda mrefu ila akaona heri akuonje kwanza ndio aende zake. Usijaribu kumlipizia kisasi cha aina yoyote kwa sababu biblia inasema kisasi ni juu ya Bwana.
Tulia endelea na mambo yako, wakati utafika utampata yule wa ukweli ambaye Mungu amekuandalia. Usipapatikie wanawake wanaojiletaleta eti wanakupenda, ni waongo kabisa tena wametumwa na shetani.
Nadhani tumeelewana.
Kakuona huna jipya, jipange tena hahaahahaha
Ebana eeeh.....kakuharibia ujana wako.....haya poleee!!!!
Mkuu nilimfikisha Vizuri tu,nauhakikaamekurubuni akakuchezea akajua hujui.. huwezi kumkata kiu? punguza ulokole... kuwa mwanaume usugue vizuri mwanamke wewe kijana... umemwacha mdada wa watu na genye utadhani aendelee kukuganda una nn?
ulifungwa mikno na wewe usimchezee, ndo maana alikuacha unampaje akitakacho bila ya wewe kumchezea pia ili alainike ndo shughuli iendelee una haki ya kuachwaa, kuchezeana ndo hudumisha penzi.