Part IX: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

Part IX: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

slim5 Mura hakyanani Mura jamaa yake akikukuta sasa patachimbika.........................
 
slim5, utavunjwa kuino na jamaa shauri yako, usamalia wema utakutokea puani, hivi mama mzazi wa majeruhi umeshaonana nae?
 
Last edited by a moderator:
Utabiri wangu naona unakaribia kutimia yaani hapo mlango unavo funguka anaingia yule mshikaji alo kukwida pale Mhimbili duh!! sipati picha mkuu Slim 5 chumba chenyewe ndo khiko kimoja ushahidi bado upo..Bado hata POP haija tolewa sarakasi zilisha anza.
 
slim5, utavunjwa kuino na jamaa shauri yako, usamalia wema utakutokea puani, hivi mama mzazi wa majeruhi umeshaonana nae?

Mama mzazi anakuja wkt Manusra wng kashatoka Muhimbili ram
 
Last edited by a moderator:
Yaani huyu bana, anaringa balaa....mara asingizie futuru, mara kibarua ili mradi tu

Kn sehemu ndg tu unankosea, yaani ungenijulia, nakwambia ram tusingefika huku!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Nimetika wito mkuu, ila nikutahadharishe japo mjini msingi ni kiuno, hapo kitavunjwa. Cjui kama na yeye ataweza kukupeleka muhimbili...
 
Mbona unapitapita pembeni hit the point slim 5 mhhh yaan macho yalintoka nikajua. ........... mh tehetehete
 
Mbona unapitapita pembeni hit the point slim 5 mhhh yaan macho yalintoka nikajua. ........... mh tehetehete

aaaah, aaah, aaah, aaaah! Punguza haraka beb v
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom