Part X: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

ni moja kati ya story nzuri za maisha halisi ya mtanzania!!!....hustle na up n down za maisha!!!!,
ila hukumtendea haki dada!!!
 
Watu walitaka iishe kwa kugegeda mmoja wao,hasa dada.
 
ni moja kati ya story nzuri za maisha halisi ya mtanzania!!!....hustle na up n down za maisha!!!!,
ila hukumtendea haki dada!!!

Mkuu Neo1 yupi sasa, maana wako wawili hawa!
 
Umenikumbusha mbali sana,enzi hizo kila mtu anataka kwenda UDSM.Mtaani wakisikia unasoma UDSM basi ni kukupa heshima mwanzo mwisho

Ila maamuzi uliyochukua ya kuwapotezea ni vijana wachache sana wanaoweza kufanya hivyo aisee.Inferiority complex ili kumaliza pia baada ya kuona mtoto kapata UDSM halafu mwenzangu na mimi patupu.Mwenzio atakuwa next level kwa sasa,siunajua mabinti wazuri tena yupo chuo
 
Mkuu umeongea ukweli kabisa! Ukitaka kukimbia, yakupasa uagane na nyonga mkuu xfactor
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa hadithi tamu nimeifuatilia toka mwanzo. Keep it up
 
Mmh pole sana, kama kweli ulikuhusu hongerakwa Kuwa shujaa maana ungewagombanisha MTU na Dada yake.na sisi utusamehe pale tulipokukwaza
 
Thanx sana miss ngatara! Mimi niliinjoi sana kuwa nanyi wkt wa wote story!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom