Recent content by beatrixmgittu

  1. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Kiti cha Presidaa kina nini?

    Mmhh! Aisee!
  2. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

    aaah mkuu ubongo wa fleva hapana. enzi za matamasha dön bosco, kuna vitu kama turuke turuke, kukurukakara zako, tanzania na siamin kama tupo wote wa mawingu band.
  3. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Nahitaj wazo lako ktk hili!

    Dudu kubwa ya nini? Kachanjie dodoki. Ahaha hapana mkuu. Achana na wachina, ridhika na dudu aliyokupa Mungu.
  4. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Tumia maziwa fresh glass moja weka kijiko viwili 20mls za asali ya nyuki wadogo , mara mbili kwa siku ,me imemsaidia mtoto wangu. Pia chua na viksi kabla kulala, kifuani na mgongoni.
  5. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Mum's stress is passed to baby in the womb

    BAK thank you for this useful post. Ni ukweli kabisa.
  6. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Jennifer Lopez and Marc Anthony

    Kweli maamuzi magumu sana!
  7. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

    Kuna ngoma kama aaaah msela mmmh msela mimi nampenda msela ingawa hana hela msela aaah msela.
  8. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchimbi umetia aibu

    mkuu umeua mbaya, then tunatafuta wadhamin wa ligi! Upuuzi mtupu,
  9. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Chacha Marwa na futball??
  10. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania wanawake wengi ni wanafiki katika hili....!

    naunga mkono hoja 100%.
  11. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania J. Samwel Malecela ni mgonjwa

    Pole muzee Malecela, Mungu akujalie upone haraka.
  12. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2011 - Amplified (Wawakilishi wetu from Tanzania)

    Hata programme yake (Nirvana) sio nzuri kama ilivyokuwa zamani na Abby.
  13. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania hodiii

    Karibu ila...................??????????????:israel::israel:
  14. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Na mie nimo

    Karibu sana zingatia sharia za JF:israel:
  15. beatrixmgittu

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa Starts this way......!!!!

    Tena wanawake ni wengi kuliko wanadume.
Back
Top Bottom