Ndg na wewe kumbe umeliona hili,watu wa ukanda huu ni mashuhuri kwa kusifia kitu kisichoakisi sifa stahiki,naongea coz ninaishi nao,wengi wao hawajapata bahati ya kutembea kwenye miji ilioendelea na kustaarabika,hawana exposure..
Nawashauri watembee wajifunze ili waache kuipa sifa zisizo stahili...