Majigambo ya vijana wa Arusha

  • Thread starter Dangote the advocate
  • Start date

D

Dangote the advocate

Senior Member
Joined
Sep 21, 2014
Messages
107
Likes
98
Points
45
D

Dangote the advocate

Senior Member
Joined Sep 21, 2014
107 98 45
Katika pitapita zangu yaani sekondari na chuo nimekuja kugundua vijana wa arusha ni watu wa maringo sana na dharau nataka kujua wadau hili linasababishwa na nin
 
Roger Sterling

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Messages
11,146
Likes
9,729
Points
280
Roger Sterling

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined May 10, 2015
11,146 9,729 280
Paulo Sergio De Souz Bro mmefunguliwa kesi huku
Hahaha. Ni hisia zake zimechanganyika na kutojiamini.

Cats born and raised in Arusha are cool with anything or anybody that's authentic. We're proud of where we come from, therefore we bow down to no one.
 
Kaboom

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Messages
9,515
Likes
9,055
Points
280
Kaboom

Kaboom

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2011
9,515 9,055 280
Hahaha. Ni hisia zake zimechanganyika na kutojiamini.

Cats born and raised in Arusha are cool with anything or anybody that's authentic. We're proud of where we come from, therefore we bow down to no one.
Sure..Kujiamini ndo mpango
 
D

Dangote the advocate

Senior Member
Joined
Sep 21, 2014
Messages
107
Likes
98
Points
45
D

Dangote the advocate

Senior Member
Joined Sep 21, 2014
107 98 45
Sio suala la kutokujiamini yaani ukweli ni kwamba hawa jamaa wa arusha wengi wao hasa vyuoni hupenda kujiona wao ni bora kuliko watu wanaotokea mikoa mingine
 
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
8,493
Likes
6,539
Points
280
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
8,493 6,539 280
Hahaaaaa, unanichekesha sana, KUJIAMINI ndio mpango mzima, kwa nini uwe na hofu? Lazima uringe kwa kuwa unajikubali. Sasa kizazi hiki cha enzi ya chadema ndio hatari maana mtoto mdogo ameshajua nguvu iliyo ndani yake hakuna UOGA wala udhaifu, Arusha ni baraka sana kuzaliwa au kuishi hapa.
 
John Wawa

John Wawa

Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
10
Likes
2
Points
5
John Wawa

John Wawa

Member
Joined Jan 14, 2013
10 2 5
Hahahhahhaha........ machalii ya chuga acheni kuwatesa hao jamaa zinazotoka mikoa mingine asee... si mnaona wanavyolalamika? But ata hivo mi huaga naona kama ni mtazamo tu wa watu wengine maana kinachowaogopesha hao ni kujiamini kitu ambacho nadhani kila mtu anatakiwa kuwa nacho......

bushland: "Wap kama Arusha?? Chezea chuga wewe, njoo uone watu walivyo cool" na bado watu wanapiga hela hatareeeee
 
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
40,139
Likes
47,721
Points
280
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined Sep 25, 2013
40,139 47,721 280
sio wana maringo hawataki kuongea maana meno yao wengi yameoza au wamefumbata ugoro mdomoni
MKUU HUJUI KUJENGA HOJA... UKO TOO PERSONAL ZAIDI...jaribu kukaa na kufikiria namna ya kutengeneza hoja yenye mashiko kuliko kuja na hoja za kitoto eti ugoro na kuoza meno kitu ambacho ni 'nonsense', kwa anaejielewa hawezi kuongea utumbo huu
 
barwani

barwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Messages
239
Likes
136
Points
60
barwani

barwani

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2015
239 136 60
Katika pitapita zangu yaani sekondari na chuo nimekuja kugundua vijana wa arusha ni watu wa maringo sana na dharau nataka kujua wadau hili linasababishwa na nin
Upo sahihi,na tena usiombe chalii wa arusha akajua kua wewe unatokea DSM ataanzisha ushindani usio na tija,kila kitu atataka aweke ushindani..
 
LEWANGANGUMU

LEWANGANGUMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2016
Messages
284
Likes
156
Points
60
Age
48
LEWANGANGUMU

LEWANGANGUMU

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2016
284 156 60
Upo sahihi,na tena usiombe chalii wa arusha akajua kua wewe unatokea DSM ataanzisha ushindani usio na tija,kila kitu atataka aweke ushindani..
Ofcoz hili swala lina ukweli ndani ykeNa wanapenda xana fujo lkn hawana nguvu ya kuparangana

Bali wanatumia pis pis na visu


Hahahahahahaaaa

lkn n jiran zangu awaaa
 
jumayu

jumayu

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
658
Likes
365
Points
80
Age
41
jumayu

jumayu

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
658 365 80
Huko siko eti pis pis na visu!sio machete na kwann mabomu yametengewa gara ni kwa pis pis kweli
 
Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Messages
7,738
Likes
4,828
Points
280
Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2010
7,738 4,828 280
Katika pitapita zangu yaani sekondari na chuo nimekuja kugundua vijana wa arusha ni watu wa maringo sana na dharau nataka kujua wadau hili linasababishwa na nin
Hoja yako ni nini, mbona umeandika umbea tu?
 
Black7

Black7

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
363
Likes
110
Points
60
Age
22
Black7

Black7

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
363 110 60
Hahahaa vjana wa aruxha wamedata na mjani.. dats y
 

Forum statistics

Threads 1,235,149
Members 474,353
Posts 29,213,248