Kituko: Afunga ndoa na simu yake ya mkononi(smartphone)

barwani

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
238
160
Wanajamvi,dunia hii haishiwi vituko na maajabu...
Baada ya Jana kusikia kituko cha jamaa mmoja aliekua akijihamishia fedha kila baada ya dakika kadhaa,fedha ambazo ukipiga mahesabu vizuri kwa mwaka mzima unakaribia kuipata bajeti ya nchi.
Hiki ni kituko kama sio maajabu Ila kama fasihi haikutumika kukiwasilisha kwa hadhira..
Leo nimesoma kituko kingine,huko L.A Marekani jamaa kavuta jiko,ameagana na ukapera kwa kuiioa simu yake kipenzi ya mkononi(smartphone)
Jamaa anapenda sana na kuthamini vitu vyake ndilo somo niloling'amua,lakini si kwa kiasi cha kufunga ndoa na simu,unless otherwise awe na matatizo ya kiume au kisaikolojia..
Naomba kuwasilisha,karibuni tujadili kwa pamoja..
 
Unashangaa? Mbona wiki iliyopitajumapili jioni niliangalia kipindi wanachorusha TBC cha sherehe za ndoa nikaona bi harusi anachat na simu akiwa high table kwenye sherehe ya harusi wakati wazazi wa mmoja waharusi hao akiongea. Ndio kizazi cha dijitali
 
Tafsiri ya Ndoa ni muungano kati ya Mwanaume na Mwanamke walioamua kuishi pamoja kama mume na mke.
Hivyo hiyo sio ndoa ni Stress tu.
 
Back
Top Bottom