Hivi Mwanza nalo Jiji?

Hivi Mwanza nalo Jiji?

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Kwanza nianze kwa kukupongeza kwa kupata chuo maake miaka hii kupata chuo imekua changamoto hasa kwa nyie BRN naona umeshindwa kuficha furaha yako ya kuchaguliwa chuo na kufika mwanza..
Naomba nikuulize ivi nakumatt ipo pia Paris eti??
Mwisho kabisa wasalimie namtumbo

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Nakupongeza umeanika madhaifu yako, nafikiri sasa unajibu. Usikae kukariri nakumatt, halafu usijiite msomi wakati hata chuo haujamaliza.

Jiji gani bhanaa?,vinyesi kila kona,wakoma wamejaa kila kona wametupwa na serekali wala hawati6biwi coz madawa hakuna,typhoid imezagaa lake victoria yote kwa sababu mavi yote ya jiji yanatiririka humo,malaria ndio bingwa Mwanza kachukua kombe.
Haya maneno yanasitahili facebook na siyo huku JF. Yanashusha personality yako na yako unatufanye tushindwe kukutofautisha na huyu kiumbe DOPEBOY!!

Inaonekana we ni mtani tu wa wasukuma hapo naweza kukuelewa labda...
mwanza siyo ya wasukuma wala haikujengwa na wasukuma, ingawa wenyeji ni wasukuma, kama iliyo dar haikujengwa na wazaramo, acheni kukariri

Haya maneno yanasitahili facebook na siyo huku JF. Yanashusha personality yako na yako unatufanye tushindwe kukutofautisha na huyu kiumbe DOPEBOY!!
Basi Mkuu,Mwanza iko juuuuu juuuazidi ya Las vegas.

Kwenye ukweli tusipinge tu. Kulingana na Vigezo vilivyowekwa ili kuwa jiji hasa kwa Tanzania Mwanza ni jiji. but is too local. Huwezi Ita ni jiji la wajanja.
Waulizeni kina Ivona kamuntu, Baruan muhuza, Godwin Gondwe nk. Ukitoka mwz ndipo utajua ulikuwa local kiasi gani. Hata kama ni maarufu.

How local mwanza is??. We akina baruan muhuza, na hao wengine uliowataja walishakuambia kuna u_local gani mwanza au unataka kutuaiminisha kuwa ulichoandika ni sahihi?. We hata mwanza huijui unasubiri usimliwe. Ungenyoosha maelezo unachoongelea wewe ni kwa category ipi ili tunaoyafahamu haya majiji tukusaidie. Kimiundo mbinu mwanza ipo juu, kibiashara mwanza ipo juu, kitalii arusha ipo juu, idadi ya watu mwanza ipo juu na kwa theory za uchumi popote penye population pana maendeleo, huduma za karibu n.k. wewe unaleeta habari ya LOCAL, what do u mean?

Mnabishana na watu walioshindwa. Achaneni na watu hao. Kila cku wanajisomba kutoka kaskazini kuhamia mwanza na wakiishaingia hawatoki. Hill ndio jiji pekee kutika tz ukiondoa dar ndilo linalovutia wahamiaji wengi toka huko Kwa wenye meno yenye kutu na wala nyama mbichi maana wakifika hawarudi tena sanya wala longido.

Serikali kuweka kigezo cha idadi yawatu ndo liwe jiji hapa waliharibu asee
Kila kitu Arusha inazidiwa isipokuwa hoteli tu, hotel za Arusha kidogo zipo juu sababu ya utalii, otherwise Arusha kwa mwanza bado sana. Na wingi wa watu wa mwanza si tu kwa wazawa wa mkoa huu bali watu kutoka mikoa mbali mbali ikiwemo Arusha wanahamia mwamza kwasababu ya fursa nzuri za kiuchumi. Sisi hatubishani kwa ushabiki haya majiji tunayajua na tunajua geographical potentiality ya kila jiji. mwanza is a head of Arusha kwa kila kitu isipokuwa hoteli tu

Kwenye ukweli tusipinge tu. Kulingana na Vigezo vilivyowekwa ili kuwa jiji hasa kwa Tanzania Mwanza ni jiji. but is too local. Huwezi Ita ni jiji la wajanja.
Waulizeni kina Ivona kamuntu, Baruan muhuza, Godwin Gondwe nk. Ukitoka mwz ndipo utajua ulikuwa local kiasi gani. Hata kama ni maarufu.
Upuuzi mkubwa! Yaani hao akina Kamuntu ndio akina nani kwa Mwanza? Wote ulioorodhesha hapo, ukiondoa Gondwe aliyezaliwa na kukulia hapo, wengine ni wa kuja kutoka vijijini Kigoma na wapi sijui, hivyo usiwatumie kuhalalisha lengo lako?

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Ndg na wewe kumbe umeliona hili,watu wa ukanda huu ni mashuhuri kwa kusifia kitu kisichoakisi sifa stahiki,naongea coz ninaishi nao,wengi wao hawajapata bahati ya kutembea kwenye miji ilioendelea na kustaarabika,hawana exposure..
Nawashauri watembee wajifunze ili waache kuipa sifa zisizo stahili Mwanza..

Kwenye ukweli tusipinge tu. Kulingana na Vigezo vilivyowekwa ili kuwa jiji hasa kwa Tanzania Mwanza ni jiji. but is too local. Huwezi Ita ni jiji la wajanja.
Waulizeni kina Ivona kamuntu, Baruan muhuza, Godwin Gondwe nk. Ukitoka mwz ndipo utajua ulikuwa local kiasi gani. Hata kama ni maarufu.
ukimaliza shule uje unitembelee mjomba wako mwanza

Ndg na wewe kumbe umeliona hili,watu wa ukanda huu ni mashuhuri kwa kusifia kitu kisichoakisi sifa stahiki,naongea coz ninaishi nao,wengi wao hawajapata bahati ya kutembea kwenye miji ilioendelea na kustaarabika,hawana exposure..
Nawashauri watembee wajifunze ili waache kuipa sifa zisizo stahili Mwanza..
Mlimalize kweli elimu ya shule ya msingi?. We nawe unasema umetembea hahahaha kuna shida hapa. Anyway unatembea bila malengo kwahiyo ulipoteza mda na hela yako bure. Au na wewe una dope's syndrome. Yaani unabisha wakati jibu unalifahamu.

Mwanza oohhhhh Mwamzs............Mwanza Mji mzuri Mwanza.......In .......voice...........That song had been super

Back
Top Bottom