Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,170
Kuna mengi yanayoweza kupima adabu ya mtoto sio kumpisha mtu siti akae tuu
Hahaaa mkuu what about LIFO(last in first out)Zama za ujamaa zimepitwa na wakati.
Aliyewahi ndiye akae, ukichelewa simama.
First In First Out (FIFO)
Ndio maadili yetu ya Kitanzania, na tunaamini kuwa hiyo sehemu ya mafunzo ya heshima kwa mtotoKwa nini tunafikiri mtoto hastahili kukaa kwenye kiti?
Haaaa Madenge umenikumbusha mambo ya LIFO na FIFOZama za ujamaa zimepitwa na wakati.
Aliyewahi ndiye akae, ukichelewa simama.
First In First Out (FIFO)
hahaaaaaa inaonekana na wewe ndio wale wale tuZama za ujamaa zimepitwa na wakati.
Aliyewahi ndiye akae, ukichelewa simama.
First In First Out (FIFO)
Ukiona gari imeshajaa na hakuna seat ya wewe kukaa subiria ambayo haijajaa ili upate nafasi ya kukaa..kila mtu ana haki ya kukaa ndani ya daladalaUkitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.
Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.
Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Acha uzungu weweKwani watoto hawastahili kukaa?
Mimi naona kwenye subway watu wazima wanapisha watoto. Kwa fikra kwamba watu wazima wanaweza kustahimili kusimama kuliko watoto.
teh teh teh mkuu na wewe umepiga ICT au Accounts aiseee??.Haaaa Madenge umenikumbusha mambo ya LIFO na FIFO
teh teh tehHahaaa mkuu what about LIFO(last in first out)
ha ha haHahahaaaaa, accounts mpaka kwa watu na LIFO je haifai
nao ni binadamu,tangu wanawake na wazee waichague ccm mwaka jana sitokaa kumpisha mwanamke au mzee kwenye kiti iwe kwenye gari au sehemu yoyote ile HAPAKAZI TUUkitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.
Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.
Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Ndioteh teh teh mkuu na wewe umepiga ICT au Accounts aiseee??.
Hizo algorithms lazima ubenane nazo tu
POSITIVEKwani watoto hawastahili kukaa?
Mimi naona kwenye subway watu wazima wanapisha watoto. Kwa fikra kwamba watu wazima wanaweza kustahimili kusimama kuliko watoto.