Recent content by Baruhongerachi

  1. B

    Mkulo na Biblia

    he is just trying to re-direct the problems to be handled by him to someone else...ddnw they promise us better life?
  2. B

    Zaidi ya Dk. Slaa, nani mwingine ndani ya CHADEMA anafaa urais 2015?

    Umefikiria? Maana isiye kichwa chako kitupu,but anyway CHADEMA kuna demokrasia kali. Atapatikana tu ingawa huyu Rais wetu wa sasa hajazeeka kama unavyodhani
  3. B

    Januari ashangaa wabunge wengine wamefikaje Bungeni?

    Nothing is foolproof to a talented fool..like jm
  4. B

    A Parody of Presidential Eloquence - Kejeli ya Umahiri wa Rais katika Lugha

    Hajui kama anaijua Richmond ingawa kiukweli anajua hiyo ni nini na ana MASLAHI NAYO,'you cant lead people by misleading them.'
  5. B

    Chemsha bongo

    Kuna vitu vingi si kimoja tu,ila KIFO ndio hofu kuu. Pamoja na hiyo uoga wa kutokuwa na mali/utajiri hasa kwa vijana upo,hofu ya kukataliwa na kuhisi huthaminiki vipo pia. Lakini usiogope-unamwamini Mungu? Then hakuna kuogopa.
  6. B

    Rais wa tz ni nani?

    Anamalizia kipindi chake cha uongozi msimdisturb mhe.rahis,atafanyaje kazi zoote zile wakati baraza la mawaziri mwalijua? Anafanya kazi bwana.
  7. B

    JF Valentines Day

    Imekaa poa,tulio na furaha na hiyo Valentine's day ni wengi. Pooaah!
  8. B

    Upande wa pili wa Edward Lowassa

    Nafikiri jamaa hajatumwa ila kasema ukweli usio wa uhakika saana,unajua kwa nini? Shule za kata ziliasisiwa na Ben wa ukweli sema tu Lowasa alishadadia na akafanya kwa sifa lakini si kwa kiwango. Kiutendaji aliwafanya wakurugenzi kuwa active tofauti na sasa Mtoto wa Mkulima hana lolote,akiulizwa...
  9. B

    Benard Membe Ajitapa Tanzania Kupewa Tuzo ya Kutokomeza Malaria Kwa Vyandarua

    Tuzo? Tatizo la huyu 'maembe' anafikiri kabla ya kusema,sasa hayo matuzo yooote aliyotaja ukiacha hili la maleria ni upuuzi mtupu! Eti tuzo na makao makuu ya ukombozi Afrika ili iweje? WEZI WAKUBWA MAEMBE,KIWETE NA WOOTE mnaotumia kodi za wananchi kisha mnawahadaa na tuzo feki MLAANIWE MAJOKA YA...
  10. B

    2 Things

    Hata sijui nisemeje kuhusu hilo
  11. B

    Herufi 'A' na mikoa TZ. Whyyyyy?

    Hongera kwa huo utafiti ndugu yetu,ckjua kama Europe inaanza na kuishia na e. Anyway hii issue ni majina na yalitokea katika hali ya arbitrariness hakukuwa na mpango wowote...umeona eeh!
  12. B

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Ulitaka apendelee kwao hadi matokeo? Tuache unafiki waziri huyu hahusiki na matokeo hayo ila hao walimu na mfumo mzima wa elimu Tanzania. Mbona shule kibao tu zenye majina ya wakubwa huwa hazifanyi vizuri leo hii unamkomalia Mwandosya? Angeacha kuisapoti mngechooonga sa kasaidia bado tena...
  13. B

    Mufti ataka Waislamu kuwekeza katika elimu zaidi

    Umesahau hata WAZINZA ni viongozi wazuri,sio ukabila kama ulivyosema lakini kwa wale waliosoma Makoko Seminary wanamjua Fr.Thomas K.Bilingi.
  14. B

    Mufti ataka Waislamu kuwekeza katika elimu zaidi

    Alichosema Muft na Sheikh Mkuu ni murjerb na sahihi kabisaa,masuala ya kudeal na personal issues kwenye masuala ya msingi sio. Wanachokosea tu ni kwamba seminary ni shule za kikatoliki tu si za kilutheri,kianglikana au kiislam. Elimu ni muhimu kwa kuwa na Walimu imara...,Good teaching is...
  15. B

    Upweke unanisumbua wakuu

    Umefanya la maana sana mkubwa ingawa sipendi kukuita 'zege' Anyway nakutakia kila la kheri coz hapo unaongelea maisha na UZIMA wako.
Back
Top Bottom