Upweke unanisumbua wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upweke unanisumbua wakuu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by katt williams, Feb 1, 2011.

 1. katt williams

  katt williams Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni kijana mwenye elimu ya uzamili, na ninaf anyakazi katika benki. Sijaoa na siku zinazidi kwenda na ningependa kuwa na familia.

  Kiumbile mimi ni mpana kiasi, sio menene. Nakunywa kidogo na nimtu wa kupenda kutoka.

  Natafuta msichana mnene kidogo au wastani, kusema ya ukweli wembambaaa siwezani nao. Awe na elimu ya kuzaliwa/kupambanua mambo. Kabila lolote na mcha Mungu.

  Wandugu niko serious sana katika ombi langu naamini kama una ndugu au rafiki umfikishie ujumbe huu.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Kiongozi kila la kheri.

  Ila angalia wengine midume huku wanajifanya mademu. usije ukaweka appointment na dume jenzio pakawa hapatoshi.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mmmhhhh wewe yaelekea uko serious,ni PM basi tuongee.......at least leo kigezo changu cha elimu ya kuzaliwa kipo.....kila siku nilikuwa nikitaka ku-apply elimu unakuta wanataka kuanzia form four.....leo hii yaweza kuwa riziki...........kila la kheri mkuu....:coffee:
   
 4. B

  Baruhongerachi Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umefanya la maana sana mkubwa ingawa sipendi kukuita 'zege' Anyway nakutakia kila la kheri coz hapo unaongelea maisha na UZIMA wako.
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  karne ya tekinolojia... hata wake watafutwa kwenye mtandao...
   
 6. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  huko bank huyawapata???? barabarabi?, jirani? kanisani? hadi uje huku??? wacha mchezo bana, mke mwema anatoka kwa Mungu na wala hutakiwi kutoa tangazo.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  inaelekea hii thread sio zile za kutunga..

  All the best my dear....
   
 8. katt williams

  katt williams Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu asante, Jamaa yako Mangi Nguli ananitania sana, na umri unasogea, mkuu sikuoni tena salender bridge vipi? Njooni na Fidel na Teamo tupige maji mnipe na mikakati ya kuondokana na huu ukapera

  Yaani nimejishisi mwenye bahati na furaha wewe ni msichana pekee aliyejibu ombi langu

  Alimpa mwanadamu akili ya internet ni Mungu, na Kama nikimpatia mke humu atakuwa ametoka kwa Mungu. Kejeli nyingine ni za kwako:A S thumbs_down:
   
 9. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  kweli leo tusiokua na elimu ya baada ya kuzaliwa tumekumbukwa lol
   
 10. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Piga kwanza elimu ya Uzamivu..unajua siku hizi u-Dr nao ni deal.
   
 11. katt williams

  katt williams Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niko serious sana, na kudhibitisha hilo kuna member humu wananijua physically na wanaweza kuelezea stutus yangu ya maisha na ninaloomba hapa, kuna Aspirin, Teamo, Fidel80, Rev Masanilo na mkewe mzenji pamoja na ndugu yangu Nguli Jabali
   
 12. S

  SuperNgekewa Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona huo u-pimp ni tatizo kwani huenda unatafuta wa kuuza
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  thanx for the details i will follow them hahahah lol
  and im gona go to do my home work now....
  Am a pimp, and I love pimping .
   
 14. katt williams

  katt williams Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushaur, familia kwanza hio uzamivu baadae,
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ooh! Jamani na mimi mpweke. Mmmh!Sijui nikutafute... Aaah!
  Hapana, bado nipo nipo kwanza.
  Kila la heri mpendwa.
   
 16. katt williams

  katt williams Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hey sorry babs gonna take back ma words
   
 17. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa ujasiri huo mungu atakujalia utapata tu, kama ulivyosema mke mwema anatoka kwa mungu na mungu ndie aliyekuwezesha kuingia humu kwenye net.
   
 18. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mie ningejitosa sema niko mbali,inaelekea huna makuu weye,,,:clap2::sick:
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  katt williams

  hii siganture itakukosesha mke akyanani!!

  "Am a pimp, and I love pimping . . ."
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  no probs ..
  no need for apology ..
   
Loading...