Benard Membe Ajitapa Tanzania Kupewa Tuzo ya Kutokomeza Malaria Kwa Vyandarua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benard Membe Ajitapa Tanzania Kupewa Tuzo ya Kutokomeza Malaria Kwa Vyandarua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 1, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Source ITV
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Upuuzi mtupu! Sijui ni lini viongozi wetu watang'amua jinsi wazungu wanavyowapaka mafuta kwa mgongo wa chupa?!? Wanapewa tuzo huko ughaibuni wakati wananchi wanakufa vijijini kwa ugonjwa wa malaria.
   
 3. olele

  olele JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 712
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  upuuuzi mtupu!!, kwa vyandarua vipi?? hivyo vyenye matundu kama ya kuvulia dagaa kiasi kwamba mbu wanapita watakavyo?
  Tanzania tunapambana na malaria lakini nchi zenye akili wanapambana na mbu. SIASA tu mpaka kwenye maisha ya watu, i hate them!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,314
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Wizi mtupu na usanii mtupu!
   
 5. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,588
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hivi nchi hii hatuna wataalamu?mbona mambo yanaenda kisiasa mno!
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  hapa nilipo nina malaria nane na ninatumia chandarua....aaaarghhh
   
 7. n

  ng'wanamakamya Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nini vyandarua bwana. Tatizo ni kwamba tuliacha suala la msingi la kuua mazalia ya mbu na tumeamua kucommercialize suala la malaria ili wachache wanufaike. Kulikuwepo na mpango wa Wizara ya Afya kuanza majaribio Mkuranga kutumia DDT ambayo imeprove kuwa inapunguza mazalia ya mbu kwa kiasi kikubwa. Lakini yote haya yanataka commitment ya serikali. Otherwise wachache wataendelea kuneemeka huku majority wakifa kwa malaria.
   
 8. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 9,856
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Nimerudi Nyumbani juzi nakuta wameniletea hati ya kupata chandarua...hili ndilo viongozi wetu wanaliweza! wakati tunasubiri utatuzi na ufumbuzi wa mambo magumu yanayohitaji majibu makini wao wanakuja na majibu mepesi ya vyandarua! na tuzo za malaria!
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,070
  Trophy Points: 280
  ni mnafiki tu hana lolote...................ni jinsi gani wazungu wantuhadaaa
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  tunapewa tuzo.

  tunafungua milango ya uwekezaji. wanakuja tunawapa vibali vya kuvuna rasilimali za nchi kama shukurani ya kutupatia tuzo uchwara.

  nchi hii bwana!?
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  ujinga wa enzi za mwalim zileeeee tunasifika fo nothing. tehe kweli wajinga ndo waliwao
   
 12. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,688
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Bernard Membe I hate you because you think you gonna be the next president of TZ. Huyu ni wale wale wa Viduku
   
 13. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hivi huyu jamaa anafanya kazi gani mbona kazi zake anafanya mkwere au mimi ndo sioni manake mkwere kila week anapaa sasa huyu anashughulikia mambo gani yaani mimi mpaka nashindwa hata kuelewe. Haya hili la afya linamhusu au anatafuta jina
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  he's just another muuza-sura
   
 15. B

  Baruhongerachi Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuzo? Tatizo la huyu 'maembe' anafikiri kabla ya kusema,sasa hayo matuzo yooote aliyotaja ukiacha hili la maleria ni upuuzi mtupu! Eti tuzo na makao makuu ya ukombozi Afrika ili iweje? WEZI WAKUBWA MAEMBE,KIWETE NA WOOTE mnaotumia kodi za wananchi kisha mnawahadaa na tuzo feki MLAANIWE MAJOKA YA MDIMU NYIE!
   
 16. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa hawa wazungu nadhani wameshamaliza kumtukana jk sasa wametugeukia sisi. Wanampa jk tuzo ya kupigia mbu muziki, mnakumbuka kazi ya maana aliyofanya ilikuwa kuzindua tamasha za muziki kuimbia mbu kwamba malaria haikubaliki.

  George Bush alileta mradi wa ukimwi unaitwa PEPFAR. Wakati alivyokuwa anamaliza kipindi chake cha urais, akatoa pesa kufanya evaluation iliyoonesha kiwango cha maambukizi tz kimepungua kutoka asilimia 7 hadi 5.6. Hili punguzo ni la kweli?

  Wafadhili kadhaa wakiongozwa na marekani wakatoa pesa za kupunguza vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga katika kipindi cha miaka 5 iliyopita. Serikali ikaendesha semina kwa wingi, wakalipana posho, wakasafiri ndani na nje ya nchi. HQ za wafadhili wakadai results. 2010 wakafanya utafiti ulioonesha kwamba vifo vya mama wajawazito vimepungua kutoka 578 kati ya vizazi hai 100.000 mwaka 2005 hadi vifo 400 mwaka 2010!!! Tukumbuke vifo hivi havikuweza kupungua miaka 20 iliyopita, na siku hizi malalamiko ya huduma za uzazi yanaongezeka kila uchao!

  Hivyo rais anakusanya tuzo feki za kimataifa, zilizotokana na tafiti feki, wakati wananchi wanazidi kuteseka na huduma zinadorora. Is this a national or international conspiracy againgst lives of tzs?
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,850
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  alafu anavyozungumza kwa kujishebedua anatia hasira huyu mzee na ndugu yake kikwete wametoka kula kuku uko nchi za watu uku wananchi wanakufa na njaa yani mungu tusaidie
   
 18. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  nyie si mnafanya viwanja vya mnazi mmoja sehemu ya choo cha kulipia?

  kwa wenzenu viwanja kama hivyo mafisadi na madikteta wanajuta kuvijenga
   
 19. KiJo

  KiJo Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmh! Na mitaro yote hii ya kuzalisha mmbu,chemba kila kona hiv vyandarua unatembea nacho au tuzo inayotolewa ni kulingana na idadi ya vyandarua vilivyotolewa kwa wananchi....?
   
Loading...