JF Valentines Day

Kumbe ndio kile 909 tulicholala wote tukaamka asubuhi tuna jasho la kufa mtu ooppsss l.o.l...

naona umeamua kuharibu mazima TF??sasa kweli umeamua??sawa bwana......tuliapa ile siri isitoke,naamini ungeweza sema bila kutoa siri....
 
naona umeamua kuharibu mazima TF??sasa kweli umeamua??sawa bwana......tuliapa ile siri isitoke,naamini ungeweza sema bila kutoa siri....
Siku ile siwezi kuisahau ndio maana hata siri imekuwa ngumu kuitunza
 
Watoto utawajua tu kwenye Valentine Day!!

Eti nguo nyekundu mara maua, mara kadi, sijui siku zote wanakuwa wapi mpaka ifike Valentine makubwa mie mwenzenu
Valentine huwa ni kila siku
 
kwel hlo linaumuhmu ila vp cc 2co kuwa na valentine wowote na wewe uliokuwa nao zaid ya m1 hauon kama ni UFISAD wa wapenz ila co ishu happy valentine pipooo

aaah kumbe ishafika Valentine?:coffee:
 
Wengine sisi sijui ndio ushamba au ndio utu uzima waja vibaya, nini hicho mnachozungumza ndio kitu gani wajameni?
 
:A S thumbs_down: Hiyo haijakaa vizuri! JF ni kubwa sana, sijui itawezekanaje kutukutanisha wote! Mimi nafikiri online meeting 'd be feasible option, maana unapofikiria JF U need to think beyond Dar, Tz, EA or africa!

Mkuu nadhani upo sahihi, we have to think beyond dsm, kuna tym nilikutana na jf members watatu nje ya bongo it was very nice. labda inaweza fanywa kitu kama kila mkoa / nchi wakakutana sehemu fulani kwa siku ambayo inakuwa ni spesho kwa wana jf.. it will be wonderful :A S thumbs_down:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom