Kiongozi nitajuaje kununua red garnet?sababu kuna sehem zipo nyingi ila naogopa kununua sababu sijui.na pia kuna sehem zinatoka green tomarine kama kuna la kunisaidia niaadie ili nijue jinsi ya kununua.
Suala la kuzuiwa mipira kati kwa jana ilikuwa ni lazima sababu yule dogo aliyetoka leicester alifanya kazi ya ziada na pia ni m'bishi sana na mwepesi.ila bado tunahitaji kwenye umaliziaji kiukweli kuna weak kidogo
Kwa mawazo yako ila kiukweli ivanovic kajituma sana leo .kwangu mm nampa pongezi.pia chelsea inaonekana wapo na nguvu zaidi mwaka huu kuliko msimu uliopita
Asante kiongozi lkn mhhhh "KILA NIKIPATA UFUNGUO WA MAISHA NAHISI KUNA BWEGE ANABADILISHA KITASA" kazi na naijua ila nakisa nguvu ya kufanya kazi kwa kweli ila kuanzia kesho nitajitahidi kufata ushauri wako.big up sana
PRINCE ni kama umeyaona maisha yangu yalivyo.mhhh yaaani mm ni mmoja ya watu ambao tayari nimekaribia kukata tamaa kabisa ya kufanikiwa kimaisha.nimepoteza 90%ya nilivyokuwa navyo.na ulichoandika ndio kinachonipata kwa sasa.kwa kweli umenigusa sana kwa 100% hii news.asante pia kwa ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.