Marehemu Karume ndani ya uso wa Rais Magufuli

Marehemu Karume ndani ya uso wa Rais Magufuli

Mmeshaona kile kilemba cha ukoka mlichokuwa mnamvika eti anafanana na Nyerere hakifai mmehamia kwa Karume sasa.
Hadi ushabiki wa vilabu umekuwa sifa kwa kiongozi wa nchi?
Hebu kuweni serious jamani.

Ilikuwa Nyerere ..akaja Sokoine..Sasa Karume

Jinsi Karume na Sokoine walivyofikia mwisho sijui wanamuombea nini huyu mtu wao
 
Ilikuwa Nyerere ..akaja Sokoine..Sasa Karume

Jinsi Karume na Sokoine walivyofikia mwisho sijui wanamuombea nini huyu mtu wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kama ingefaa kubadili ningetamani iwe kati ya msukuma na Sokoine.
If you know what I mean...
[emoji126][emoji126][emoji126]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kama ingefaa kubadili ningetamani iwe kati ya msukuma na Sokoine.
If you know what I mean...
[emoji126][emoji126][emoji126]

Mimi ninatamani ya Karume if you know what i mean .......ha ha haa
 
Mimi ninatamani ya Karume if you know what i mean .......ha ha haa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafwa kwa kicheko.
The Boss you made my night,
Thank you.
Na iwe hivyo In Shaa Allah [emoji126][emoji126][emoji126]
 
Mungu ndiye kaamua Dr Magufuli awe rais
Ni mungu huyo huyo ndio aliemchagua Karume kuwa Rais. Wacha uheke wako hakuna Rais wa Tanzania aliemfikia Karume kwa kuwajali na kuwatendea mema ya kukumbukwa kwa raia zake
Baadhi ya mambo Karume aliofanya kwa wananchi wake ni pamija na :-
1.Karume aligawa nyumba za kisasa bure kwa wazanzibari
2.Karume aligawa eka tatu za ardhi kwa wananchi
3.Karume alitangaza maji bure, matibabu na elimu bure 1960's
4.Karume kawajengea bure nyumba za kisasa za wazee wasiojiweza na kuwalipa posho

Hilo ndilo jambo liliopelekea mkamuonea wivu mkawatuma Wanajeshi kwenda kumuua. Aliepanga mipango ya kumuua Karume ni Mr X ndie aliekuwa akitajwa mahakamani katika muendelezo wa kesi ya uhaini iliopelekea Karume kuuwawa. Jiulize na ufanye utafiti Mr.X ni nani?

Rais Magufuli anaonekana kujitahidi kuwa kama kivuli chake kwa nia ya kuonesha kuwa atayafanya kama yale ya Karume
 
ZANZIBAR: Death at Sunset
Early one evening last week, Sheik Abeid Karume, 67, the burly, leftist strongman of the spice islands of Zanzibar, sat down to play cards and sip bitter coffee with his cronies in the white-walled building in Zanzibar Town that served as headquarters of his Afro-Shirazi Party. Shortly after sunset, two cars pulled up outside, and four men armed with automatic weapons and revolvers jumped out.

Then, according to eyewitnesses, they burst into the building and sprayed gunfire at the cardplayers, killing Sheik Karume instantly. Karume's bodyguard shot one of the attackers dead, and the driver of one car was captured;...
Ungeweka source. Ni aibu jambo limetokea Zanzibar ukanakili magazeti ya nje. Matokeo yake hadithi yako imekatika kuna vipande vina ukweli na vyengine uongo.

Uelewe tu kuwa mmoja alieshiriki kikamilifu katika mauaji na kuhukumiwa kunyongwa bado yuko hai na yuko Zanzibar. Waandishi wadadisi wanaweza kwenda kumhoji ukapatikana undani zaidi. Nae ni Ex-Policeman officer(marksman) Bw.Rashid Fallahi anaishi jimbo la Mwanakwerekwe na ni mashuhuri sana Zanzibar.
 
Mkuu source yangu ndo hiyo ya Gazzeti la wakati ule. Nashukuru kwa taarifa za ziada.
Muhimu nilijibu swali la aliyeuliza Karume alikufaje?
 
Back
Top Bottom