Dubai kujenga Hotel yenye msitu wa mvua

Dubai kujenga Hotel yenye msitu wa mvua

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,464
http://millardayo.com/dubah45/#respond
372D230D00000578-3736313-image-a-139_1471101121120.jpg

Baada ya mji wa Dubai kuwa kwenye headline za majengo marefu duniani, hivi karibuni Dubai itazidi kuwa eneo la kuvutia zaidi duniani ambapo zimetolewa picha za muonekano wa Hoteli ya kwanza duniani itakayojengwa Dubai na itakuwa na msitu wa mvua. Hoteli hiyo imepangwa kufunguliwa mwaka 2018 ikiwa na beach ya kutengeneza na miti ambayo itakuwa ikitoa ukungu.

372D0B8800000578-3736313-image-m-133_1471101020741.jpg
372D21D100000578-3736313-image-a-126_1471100997396.jpg

372D211400000578-3736313-image-a-137_1471101111362.jpg
372D225900000578-3736313-image-a-141_1471101126319.jpg
372E466C00000578-3736313-image-a-135_1471101105116.jpg
372E465000000578-3736313-image-a-127_1471101000441.jpg
372E466000000578-3736313-image-a-132_1471101014316.jpg

NB: Hivi sisi tumeachwa Dunia kwa miaka mingapi? nadhani tuko nyuma zaidi ya karne 2 au zaidi,maaana hivi sasa bado tupo kwenye kuchangia madawati mashuleni
 
Kwa umoja wetu bila kuogopa tuhamieni tukaijenge Dodoma iwe kama Dubai. Ukiangalia hali ya hewa ya Dodoma ni nzuri zaidi ya Dubai hivyo ipo siku Dodoma itakua kivutio cha utalii na kukuza uchumi wa nchi.
Kwa ujangwa.. Dubai ni jangwa zaidi ya Dom.
 
372D230D00000578-3736313-image-a-139_1471101121120.jpg

Baada ya mji wa Dubai kuwa kwenye headline za majengo marefu duniani, hivi karibuni Dubai itazidi kuwa eneo la kuvutia zaidi duniani ambapo zimetolewa picha za muonekano wa Hoteli ya kwanza duniani itakayojengwa Dubai na itakuwa na msitu wa mvua. Hoteli hiyo imepangwa kufunguliwa mwaka 2018 ikiwa na beach ya kutengeneza na miti ambayo itakuwa ikitoa ukungu.

372D0B8800000578-3736313-image-m-133_1471101020741.jpg
372D21D100000578-3736313-image-a-126_1471100997396.jpg
372D230D00000578-3736313-image-a-139_1471101121120.jpg
372D211400000578-3736313-image-a-137_1471101111362.jpg
372D225900000578-3736313-image-a-141_1471101126319.jpg
372E466C00000578-3736313-image-a-135_1471101105116.jpg
372E465000000578-3736313-image-a-127_1471101000441.jpg
372E466000000578-3736313-image-a-132_1471101014316.jpg

NB: Hivi sisi tumeachwa Dunia kwa miaka mingapi? nadhani tuko nyuma zaidi ya karne 2 au zaidi,maaana hivi sasa bado tupo kwenye kuchangia madawati mashuleni

DR Sheni alitu ahidi wakati wa kampeni kuwa Znz ataifanya kama dubai....karibu tutawafika usiwe na shaka utatembea Burshein ya Zanzibar soon
 
Sisi ngoja tuendelee kuchangishana madawati huku tukitenga til 1.2 za kuhamia dodoma.
 
nashukuru umeamka najua uliandikia usingizini hebu niambie kati ya dodoma na chato wap inahitajika international air port ya haraka
Hiyo nayo ni point mkuu. Ila Dom napo patajengwa airport kubwa itakahoweza accomodate ndege kubwa kama za Emirates na Qatar airways. Wale waarabu weupe tu hawatushindi.. Wenyewe wana mafuta sisi tuna gas, dhahabu, almas, tanzanite, mbuga za wanyama nzuri na za kuvutia.. Mlima kilimanjaro, n.k
 
DR Sheni alitu ahidi wakati wa kampeni kuwa Znz ataifanya kama dubai....karibu tutawafika usiwe na shaka utatembea Burshein ya Zanzibar soon

Na mkulu mstaafu alisema ataifanya Kigoma kuwa kama Dubai...haya mawazo sijui huwa wanaangalia na watu wa kuwaambia?..

Kweli Waafrika tunasindikiza tu kuishi.
 
usingizi hauja kuisha wew endelea kulala
Hiyo nayo ni point mkuu. Ila Dom napo patajengwa airport kubwa itakahoweza accomodate ndege kubwa kama za Emirates na Qatar airways. Wale waarabu weupe tu hawatushindi.. Wenyewe wana mafuta sisi tuna gas, dhahabu, almas, tanzanite, mbuga za wanyama nzuri na za kuvutia.. Mlima kilimanjaro, n.k
i
 
Back
Top Bottom