Jaman kuna watu wanaakili kuliko kuwa clever. sijapost entry siku nyingi sana. nakuja hv:
kuachwa au kuacha, hiv vitu tujitahid kuvifanya kwa mazungumzo ya pamoja, kwan mwenzenu niliachwa halafu kwa mbwe mbwe kibao,, lakin baada ya muda wa miaka miwil familia ya aliyeniacha walipata shida na...