Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 131
Napata kigugumizi kwa sababu sielewi ki sheria suala hili limekaaje. Kwa sababu kimantiki kubakwa ni suala linalotakiwa kuripotiwa instantly, sasa hili suala la binti kuja fahamika ana mimba ya baba yake ya miezi mitatu? Na ni baada ya baba yake kutoweka, hii imekaaje sielewi!