Asist me in this! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asist me in this!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bang'a, Sep 5, 2009.

 1. Bang'a

  Bang'a Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wandugu nimepata nafas ya uhasibu wa project sasa mwaweza nisaidia kuanaliz kaz muhmu ambazo project acountant anaweza kufanya.
   
 2. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lazima kuna job description kwenye tangazo la kazi wakati ulipoapply, au umepata kazi kishikaji bila interview?! Na kama wewe ni qualified mhasibu hofu yako ni nini?
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  NAOMBA KUJUA YAFUATAYO KABLA YA KUKUPA USHAURI:
  1. Hiyo kazi ulipewa kirafiki au uliomba?
  2. Aliyekupa kazi hakukupatia JD/JP kuonyesha anatarajia ufanye nini?
  3. Hiyo project ni ya aina gani?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  au umepata kazi kishikaji bila interview?! Na kama wewe ni qualified mhasibu hofu yako ni nini?

  HEEEEEEEEE JAMANI MBONA JF MNAHUKUMU MAPEMA..AJAKULAZIMISHA KUJIBU WAACHE WENYE UWEZO WAMSAIDIE...HATUTAKI ""MAFATAKI"" WA UANDISHI WA HABARI
   
 5. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Womanof Substance!

  Unataka umsaidie nini huyo kihiyo. Sifahamu kama kuna Accountant ambaye kweli amekwenda shule ambaye hana overview ya project management. I stand to be corrected even a book keeper knows to make entries for a days transactions atajua kafanya transactions ngapi kwa siku na kutoa summary kabla ya kwenda kupanda basi arudi kwao Kibamba au hata Mbagala Kizuiani kwa shangazi au baba mdogo.

  Matatizo yanaanzia toka wakiwa chekechea kujifunza kukariri tu na baada ya mtihani wanakimbilia kuosha vyombo kucheza mdako au kukimbiza matambara this generation of Wadanganyika is a natural calamity upuuzi mtupu ndio maana vinapiga kura kuchagua CCM just wakipewa ubwabwa and this rotten CCM likes it.

  Look at the young ladies /boys coming from mabibo hawana tofauti. Hata kuvuka barabara hawawezi mpaka mpumbavu mmoja wa TANROADS kaweka matuta ya viazi pale Mandela road waweze kuvuka halafu one Idiot from Mlimani anawapelekea mabasi umbali wenyewe du bila mazoezi hiyo akili itatoka wapi acheni hizo!
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0


  HAHAHAHAHAHAHAHAH!!
  Hillarious!
  Msaidieni mwenzenu jamani..... nchi yetu yenyewe kwa miaka karibu hamsini inategemea misaada!Bado changa...hata watu wake ni hivyo hivyo ....
   
 7. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inaonekana na wewe ndio kama huyo jamaa asiyejua wajibu wa kazi aliyoomba mwenyewe na kupewa! Kama kweli hajapewa kishikaji/kifisadi kwa nini asijue job description wakati anatuma maombi? WAJIBU WAKO KAZINI (Job Description) UNAKUWA NA UFAHAMU NAO KABLA YA KUOMBA KAZI.
   
 8. Bang'a

  Bang'a Member

  #8
  Sep 5, 2009
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hehe me si fisadi wa kupewa nafsi kwa kujuana nina qualificatin zangu.may be nilipresent vibaya, niko kazin nibepewa kitengo cha mirad, na kama vile nakomolewa. miradi yetu ni hiring of halls, printing press, hostel na ukumbi wa mikutano
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  if u r the right passenger on the bus then ride on .... if not jump out of it upesi
   
 10. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama unajuwa majibu msaidie, si vyema kumwambia mtu aachie ngazi. Ni kweli inawezekana kazi kapata katika mazingira mazuri tu (yasiyo na ubabaishaji wenye rushwa na kubebana). kwahiyo mshauri mtu kulingana na anavyoomba yeye HATA kama hujapenda/hujapendezwa na anavyopresent issue yake. msaidie WOS na si umfukuze...otherwise tabia yako ni ya kufukuza? sorry!
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  ndugu yangu..hebu angalia juu..utaona post ya pili ni yangu na nimemuuliza maswali kistaarabu kwa lengo la kumsaidia... nadala ya kuonyesha ushirikiano..hebu ona alijibu nini.... na ndio nikamwambia kama anajiona anafaa kwa hiyo kazi ni vema aendelea ila kama siyo basi ni afadhali akaachana nayo.Wapi nimekosea au kumfukuza...
   
 12. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unachuki gani na watoto wa Mabibo ? Umewananga sio kidogo, duh!!!
   
 13. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tuwe na Imani jamani...nchi yetu inapitia majaribu makubwa sana.
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  mkuu imani gani tena?
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mhh eti JF ni mahali pa kusaidiana kwa matusi!
  Mi nilidhani kuna majibu ya wanaojiona wasomi kujibu wasio wasomi ili na wasio wasomi wawe wasomi kumbe wasio wasomi wanaambulia matusi?
  Haya Bwana!
  Ningekuwa msomi wa hiyo fani ningekujibu bwana lakini sielewi jinsi ya kukusaidia. Pole ndugu
   
 16. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mchukia Fisadi!

  Hapa jamii kuna matatizo makubwa huyo anayejiita accountant kweli ni kihiyo,katika swali nililomwuliza WomenofSubstance actually nulimpatia jibu. Afanye ABC ya accounting ambayo unaanza na simple days sales record book and make those simple entries kabla ya kufunga kazi unajumlisha na kumpatia supervisor wako! Yaani kweli mhasibu unashindwa kurekodi transaction mnazofanya kwenye huo mradi kuanzia asubuhi saa mbili mpaka unapokwenda zako Mbagala kulala! Hakuna alilyetoa matusi ila tumeonyesha ulinganyo uliopo kuanzia wanapokuwa shule hadi kupewa vyeti feki. The end justifies the means!
   
 17. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Inaonesha majibu yake yalikuwa maalumu kujibu maswali yako.
   
 18. E

  Edo JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kwa mwajiri wako kuna kitu kina orodha ya kazi, sifa za muhusika, na wajibu wa muhusika katika kila kazi. Tafuta kwenye document hiyo mahali panaposema kazi za mhasibu wa miradi. Bila shaka hapo utaona kazi za kila siku.Pili mtafute aliyekuwa anafanya kazi hapo kabla yako, ongea naye vizuri tu atakuelekeza na bila shaka kuna -hand over note ameacha/ya kukubidhi ofisi. Kama ipo nayo ni mahali pa kukusaidia
   
 19. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu Bang'a,
  pole na kazi. Mimi sio accountant lakini naweza kukusaidia kiasi fulani kwa uelewa wangu.
  1. Kwanza nakuomba uondoe dhana potofu ya kukabidhiwa kitengo kwa kukomolewa, we call that a challenging job, ina maana sasa unapata nafasi ya kujifunza vitu vipya kazini kwako. It is up to you to call a glass half empty or half full of water...
  2. Kwa upande wa accounts, mimi ninavyoelewa (wahasibu mtanisahihisha ikibidi) accountant kazi yake ni "to capture and record all transactions, operations, activities and other developments that have financial consequences". Hivyo wewe kama accountant, regardless of nature of the project, hizo ni kazi utahitaji kuzifanya kwa upande wa ndani ya kampuni.
  3. Kwa upande wa nje ya kampuni utatakiwa kuangalia zaidi mambo ya compliance..... hapo wewe utaelewa vema zaidi mkuu kuliko hata mimi nisikutafunie vibaya.
  Mwisho wa siku, chapa kazi inavyotakiwa. unaweza kuni-pm tukaeleweshana zaidi maana hata mimi naamini naweza kujifunza mengi kutoka kwako.
   
 20. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Jamani kabla ya kuitana vihiyo hebu tuambiane ukweli, zile internal training, orientation na shadowing wanazopewa wafanyakazi wapya including wenye degree makusudio yake ni nini?

  Je na wale wenye work experience wanapohama au kubadilisha kazi ile transition period kati ya anayeondoka na mgeni inakuwepo kukidhi haja gani?

  Kuna tofauti kwa Java programmer kushindwa kuandika code na kuyaelewa majukumu ya Java programmer kwenye nafasi aliyoajiriwa. Vile vile expectations zinatofautiana kati ya kampuni na kampuni, na kuna learning curve mtu anapobadilisha nafasi au kampuni.

  Kama ulivyoshauriwa unaweza kuonge na mtu uliyemreplace kama bado yupo - na je huyu bwana alihand over na alipokuwa hand over alikukabidhi document zozote ambazo unaweza pitia? Pia ongea na wafanyakazi wanaoreport kwenye hii nafasi, mwisho pitia documents za hapo kwenye kitendo mfano daily, weekly, monthly status reports, business procedures, na kadhalika.
   
Loading...