Zipo wapi picha za mwalimu nyerere wakati ule wa sherehe za kukabidhiwa Uhuru?

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Kwanini hawataki zionekane ?ile ni siku moja wapo muhimu kwa vizazi vilivyokuwapo na vijavyo.
 
Babylon zile picha zpo makumbusho. Na sio picha tu had video zake zipo. Leo kuna kituo kimoja kinaitwa ITV kipo tz, wameonyesha matukio ya cku ile mwaka 61, ilikuwa ver mvuto.
 
Back
Top Bottom