Recent content by Bado nipo nipo

  1. B

    Nimshaurije huyu baba?

    nakuunga mkono mheshimiwa.
  2. B

    Nimshaurije huyu baba?

    maeneo ya Marangu.
  3. B

    Nimshaurije huyu baba?

    Ni biashara ya uuzaji wa nyama.
  4. B

    Trafick watumwa wengi Moshi....!

    hata wao wanakuchukia ni vile 2 hujui, unajiona unapendwa na kila mtu eeh!
  5. B

    Nimshaurije huyu baba?

    Asanteni kwa mawazo yenu wadau, nitawapa feedback mwishoni mwa wiki hii.
  6. B

    Nimshaurije huyu baba?

    ni moja ya vijiji vilivyopo Kilimanjaro, ila maendeleo yake sii mazuri sana mkuu!
  7. B

    Nimshaurije huyu baba?

    Nimeomba ushauri kwa watu wenye busara zao, sioni sababu ya kuanzisha malumbano hapa.
  8. B

    Nimshaurije huyu baba?

    Vipi wadau wa hapa ndani, leo nimekuja kwenu kuomba msaada juu ya hili. Nina baba yangu ambaye mambo yake yamemwendea kombo sana mwaka huu, haswa kwa swala la kifedha. Na ameniambia anataka kuuza nyumba pamoja na kiwanja alicho nacho ambamo ndiko anakoishi na familia yake ili warudi kijiji...
  9. B

    Natishiwa kuuawa

    Wahuni haoo achana nao.
  10. B

    Mauaji ya Arusha!

    R.I.P. Our beloved sister!
  11. B

    Je, ulikutana na mpenzi/mke wako wapi?

    Mbalamwezi beach Party!
  12. B

    Live: Nusu fainali ya challenge cup

    Mwendo wa vichwa vya wenda wazimu kama kawa kama dawa, tusubirie miaka ijayo may b twaweza win!
  13. B

    Leo dar es salaam kama dafur

    Hayo ni maandalizi ya mkesha wa miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika baab!
Back
Top Bottom