Nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto?

hao ni masister duu wanaogeza usister duuu, sister duu wa ukweli anafanya majukumu yote as a girl na kama ana mtoto atapenda jamii iimjue kama ana mtoto may be kama huyo mtoto wa bahati mbaya akumtarajia na baba wa mtoto hajampenda basi ndo shida tupu.
 
zamani walikuwa wanakana sana kutokana na jamii yenyewe kuwanyanyapaa waliozaa kabla ya ndoa.but nowadays mtoto anamjua uncle (baba wa kufikia)mapema kabla ya kuishi na mama.mimi huwa naona fahari kumtaja mwanangu kwani naona kama credit hivi kwamba am a woman(sin uhakika kama mi ni sista du lakini)
 
Back
Top Bottom