Nimshaurije huyu baba?

Yani hapa ndipo unapoupata na kuuhisi utamu wa JF, watu hawana roho za kupe, wanatoa ushauri/mawazo hadi inaleta amani katika moyo, japo hawakosekani wanaokatisha wenzao tamaa. WanaJF wengi mngekuwa viongozi wa hii nchi, leo tusingekuwa na hali hii mbaya katika nchi yetu. Mbarikiwe wote mliotoa mawazo chanya kwa mwenzetu.
 
nakuunga mkono mheshimiwa.
 
Vipi wadau wa hapa ndani, leo nimekuja kwenu kuomba msaada juu ya hili. Nina baba yangu ambaye mambo yake yamemwendea kombo sana mwaka huu, haswa kwa swala la kifedha. Na ameniambia anataka kuuza nyumba pamoja na kiwanja alicho nacho ambamo ndiko anakoishi na familia yake ili warudi kijiji walipotoka na kufanya biashara na fedha atakayopata. Je hii itasaidia ama ndio muendelezo wa matatizo endapo biashara itazorota?

Kwa kuuza hzo properties hyo mzee wako anataka kujitafudia nafasi katika word ya Vichaa milembe, kwa maana kama amefastraight kipindi hiki cha biashara kwenda mrama anaweza akauza harafu akaanzisha biashara ambayo itamwendea mrama kuliko hii ya sasa hapo ndipo atakapo changanykiwa kiukweli ataenda mirembe, kwani hiyo nyumba na kiwanja vipo wapi? kwanini asivitumie kama dhamana akakopa fedha anayoitaka ili afanye hyo biashara? kwani anafanya biashara gani kwa sasa? Je, amekwamia wapi?
Naweza kumshauri zaidi kibiashara ili aweze kutoka hapo alipo na kusonga mbele lakini kwanza aniambie anataka kufanya biashara gani na kwanini anataka kufanya biashara hyo.
 
Back
Top Bottom