Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,201
- 99,936
Nitajitahidi kesho niweke TANGAZO hapa jamvini kuwakumbusha watu wasiende wala wasifuate yale magari maana ni feki na machakavu hata zile ndege ni used!!! Zinaweza kulipuka au kuanguka magari yanaweza kupasuka tyres na steering rod zote zimechoka yamepigwa rangi tu yale!!! SI ndio yale ya kashfa haya?!!!! Mmesahau??