Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 8,202
- 14,122
Wow! Its so sad kusikika vitu kama hivi. Raha ya milele umpe eh bwana na mwanga wa milele umwangazie astarehe kwa amani. Pole nyingi kwa waliofikwa na msiba huu. Jeshi la polisi linahitaji kufanya kazi zaidi usiku na mchana kutuondolea watu kama hawa mitaani.