Je, ulikutana na mpenzi/mke wako wapi?

airport...
Naona wewe kama mimi huna usingizi... ngoja nikupe details kidogo.
NIlikua nasafiri, nikapelekwa airport na mtu fulani ambae alikua pia anampokea mgeni toka same airport. So nilikaa pale, akampokea future mume wangu, akatu-introduced (I noted he had a lovely smile...) alafu mi nikaondoka na yeye akaenda zake. At that time sikumfikiria sana na yeye anasema hakufikiria sana (zaidi ya kwmba he noted that I had nice legs -to his eyes- na nilikua mcheshi).
Then nilipo rudi tukakutana tena nilipo visit a field project, it was in his office this time, na nilihitaji kutumia computer. akanipa computer yake at the condition that I give him my email address (maana aliko kua kulikua hakuna network ya sim). nilimpa bila kusita because I needed to access to his comp na zaidi sababu nilishangaa kumuona tena yule kaka wa airport who smiled so charmingly na pia nilifurahi kumkuta kavaa mgolole as I like African culture and Maasai people (he is Maasai). Kuanzia hapo tukawa tunaandikiana almost daily (which we never stopped) and this led to that... :) :A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Mm nlikutana na yule marehemu wa kwanza manzese, wa 2 hapa kinondoni kwa manyanya, na wa sasa nlikua nakula gud tym ar nkaja nae dsm last wk!
 
kuna washkaji zangu walikuwa na mademu makumira university,mi nikawa nachukuliwa kama chambo wa kuenda kumpa company roommate wa wale mademu......tukajikuta tumependana
 
Haya mambo ya "One nite stand" hukumbuki exactly wapi... Kikubwa imekua "forever years stand" .:lol:
 
Kwenye bus, tulikuwa tunasafiri tukiwa kwenye kile kiti cha nyuma chobingo kabisa. Tukapeana contact kila mmoja akasepa zake. tukaja kuonana tena baada ya miaka 2. Kikaeleweka.
 
Naona wewe kama mimi huna usingizi... ngoja nikupe details kidogo.
NIlikua nasafiri, nikapelekwa airport na mtu fulani ambae alikua pia anampokea mgeni toka same airport. So nilikaa pale, akampokea future mume wangu, akatu-introduced (I noted he had a lovely smile...) alafu mi nikaondoka na yeye akaenda zake. At that time sikumfikiria sana na yeye anasema hakufikiria sana (zaidi ya kwmba he noted that I had nice legs -to his eyes- na nilikua mcheshi).
Then nilipo rudi tukakutana tena nilipo visit a field project, it was in his office this time, na nilihitaji kutumia computer. akanipa computer yake at the condition that I give him my email address (maana aliko kua kulikua hakuna network ya sim). nilimpa bila kusita because I needed to access to his comp na zaidi sababu nilishangaa kumuona tena yule kaka wa airport who smiled so charmingly na pia nilifurahi kumkuta kavaa mgolole as I like African culture and Maasai people (he is Maasai). Kuanzia hapo tukawa tunaandikiana almost daily (which we never stopped) and this led to that... :) :A S-heart-2::A S-heart-2:

I always love the stories behind the scene..... :peep:
 
Jamii Forums!

aaama....! Minilikuwa sijui kumbe huku huku jf naweza pata lifemate! Ila issue ni hapo mnapatana kumbe ulikukuwa unawasiliana na mwanaume au mwanamke mwenzako maana hapa wengi tunatumia majina bandia
 
Back
Top Bottom