Degree za namna hii bado zinaendelea UDSM jamani???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Kwa walendugu zangu wa 2000 pale udsm mnakumbuka haka kamchezokalipokuwa kanawaumiza madada wetu ingawa kwa bahati mbaya wengi nawajuawazuri hivi leo hatuko kano kutokana na kuambukizwa kisa kupata degree yya muda
Nimemkumbuka Marehemu Prof mmoja alikuwa akiwatomasa bila adabu dada zetu pale njiapanda ya kuingilia chuo ukitokea ubungo
kale ka Bar ambacho kaliwazazalisha dadazetu leo hii ni kanisa la Kuabudu Mungu

Nimeona mwezi huu shere kibao za kupongezwa aka graduation nikajiuliza mliopo jamani haka kamchezo kanaendelea bado???
na wadadawa mnaowavulia ma PROF,DK na wengineo laboratories wakiwadanganya kuwaibia mtihani kwa ma dk mnajua amkai sana na degree zenu mnazichimbia pale kinondoni kama utabahatika kulipia yale makaburi kabla ya kufa

Embu tubadilike jamani kuna kadada tumekazika majuzi kamekuwa kakichapwa sana na Maprof na wengine leo hii wanaongoza vyuo mbalia mbali hakika walilia wengi sana sana na mbaya zaidi akaangukia kwenye moto kwa mmoja wa wafadhali wa mchezo hapa nchini ambae alishaungua siku nyingi Mungu wangu ,,sisemi hivi kuwasabai bali nawaomba kama ujaanza kamcehzo hako basi usiombe ni kabaya wapendwa ukimaliza graduation hata umpeelekee Bure Prof achukui hiyoo tu inaonyesha jinsi gani isivyo na thamani alikutamani ukiwa kwenye miliki yake ya mitihani........

Mwisho nawatakia kuongezeka vyuoni idadi nyingi ya mabinti iili wanaume waweze kusoma vizuri kama uamini kaulize wale mabinti wa JANGWANI SEC WALIOTOKA MAZINDE JUU WANAVYORUKA UKUTA USIKU KWENDA CLUB KUFANYIWA CHECK C
 
Bachelor of tiot
njoo taifa ule raha ,mpwa naambiwa na mkuu mmoja wa tff leo afi mtu refa ashawekwa sawa timu lazima itinge fainali ingawa bingwa ni rwanda wanadai aijalishi leo wachezaji wameshauriwa kujimwaga eneo la penati kama wendawazimu naipenda tff naipenda afrika
 
Bachelor of tiot
njoo taifa ule raha ,mpwa naambiwa na mkuu mmoja wa tff leo afi mtu refa ashawekwa sawa timu lazima itinge fainali ingawa bingwa ni rwanda wanadai aijalishi leo wachezaji wameshauriwa kujimwaga eneo la penati kama wendawazimu naipenda tff naipenda afrika

wewe ipende lakini mwishowe utakuja kuihama hii nchi
 
Tatizo siyo shahada tu bali pia wanataman kufanya mapenzi na watu walio wazidi kielimu/kimaisha.
 
Unataka kutuambia dada zetu walikuwa wanasomea chupi?Kumbe dada zetu wengine unakuta wanatunukiwa degree za udoctor kumbe ni udoctor wa chupi! ninawasiwasi na udoctor wa akina Nagu na wenzake!
 
mkuu MUNGI
NAPITA TU NILINDE NA USEMI WAKO TAFADHALI
 
Hayo ni madhara ya kupenda dezo dezo. Hao mabinti na waalimu wanaobadilishana degree kwa ngono ni wapumbavu.
 
Unataka kutuambia dada zetu walikuwa wanasomea chupi?Kumbe dada zetu wengine unakuta wanatunukiwa degree za udoctor kumbe ni udoctor wa chupi! ninawasiwasi na udoctor wa akina Nagu na wenzake!

Huo ndo ukweli!bachelor za chupi,masters mpaka PhD za chupi ni za kumwaga hasa UDSM!Hilo halina ubishi!mengi sana nimeyaona nikiwa udsm kali ikiwa Prof(jina kapuni)akimgonga mrembo mmoja cha fasta ofisini bila kufunga hata mlango na bila kinga!!badilikeni jamani.
 
yaweza kuwa![/QUOTE
Mbona hizi zipo kwa sana, nilikuwa na rafiki yangu demu kama yuko humu anajijua alilala na paper ya exam, all the questions, damn halafu aliniita hiyo siku kabla ya paper nikatosa eti nakomaa usiku kucha kumbe nilikuwa naitiwa majibu, nilijilaumu kishenzi baada ya paper naenda kwake ananionyesha. So guys kama uko chuo demu akikuita a day before exam we nenda tu even if ni saa tisa!
 
Si digrii tu. Hatu ubunge wa viti maalum, ujaji, ubalozi na vyeo vingine vyenye mshiko. Unategemea nini iwapo kiranja mkuu mwenyewe ni chovya chovya? Kama tunamzushia mwabie kiranja wako mkuu wa kaya alete akina mama aliozaa nao huo utitiri wa watoto wanaoibuka kila uchao pale Iku sorry kukuu. Ukiishi kwa upanga utakufa kwao. Tatizo la nchi yetu ni kila mtu kutaka kuukata bila kuwa na kisu cha kufanyia hivyo. Angalia hata wapinzani wanavyoogopa kuingia mitaani kwa kuogopa mabomu lakini bado wanataka dezo ya kupata haki. Think thrice guys.
 
Hata mama zenu ni wanawake, na hope wapo waliosoma.

Kama reputation ya kila mwanamke mwenye degree ni kuwa aliipata kwa chupi basi ama uwezo wetu wa kufikiri unashuka kadiri thamani ya shilingi inavyoshuka.

Katika game yeyote maishani rough players wapo lakini haimaanishi wachezaji wote ni rough.

Kwa nini inakuwa vigumu kwa wanaume kukubali wapo wanawake smart and sometimes smarter than them.
Do u say all these to feed ur EGO?

duh, nashangaa sana, tusemeje wakaka wanaokamuliwa pia?
Tuseme akina kaka wote wanaomaliza UDSM wamekameruniwa?
 
Bachelor of tiot
njoo taifa ule raha ,mpwa naambiwa na mkuu mmoja wa tff leo afi mtu refa ashawekwa sawa timu lazima itinge fainali ingawa bingwa ni rwanda wanadai aijalishi leo wachezaji wameshauriwa kujimwaga eneo la penati kama wendawazimu naipenda tff naipenda afrika

Unaipenda kwa lipi hapa sasa maana viwango havipandi kwa hongo bali kwa uwezo na kiwango kizuri uwanjani
 
Dada zetu wa vyuoni mpo hapo? Kazi kwenu kusikiliza ushauri na kuutekeleza au kupuuza yakukute
 
Back
Top Bottom