Recent content by Babu Maziku

  1. Babu Maziku

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo mmoja hivi wa dini. Ulitoka miaka mingi sana. Wanaimba hivi _Hata sasa aa BWANA wangu, umeshanisaidia, nionapo mkono wako, sioni shaka tena_.(chorus) Bwana wangu, umenijulisha mambo mengi ya ajabu, uhai uu, uzima uu ni neema yako BWANA. (Verse) Sijui ni fanuel, sijui sedekia au...
  2. Babu Maziku

    Kwa wale wapenda mazoezi ya 'Push up' tukutane hapa!

    Huwa nakimbia, ila sipati muda wa kukimbiia mara kwa mara Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Babu Maziku

    Kwa wale wapenda mazoezi ya 'Push up' tukutane hapa!

    Mkuu umenipa shule kubwa sana, nafurahi kukutakana jamvini na watu makini kiasi hiki. Nimeanza kunywa chai, japo bado sifunguki km mchana. Pia njaa inaanza kuniuma kuanzia saa 4-5 hivi, lkn napambana hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Babu Maziku

    Kwa wale wapenda mazoezi ya 'Push up' tukutane hapa!

    Wakuu mie huwa napiga 70, kwa mkupuo, kisha naanza kushuka hadi 20. Nimeanza kupiga toka 2003. Ila kuna kipindi niliacha km miez sita, nilipokuja kuanza kupiga push up. Sikuweza kufikisha 70 kwa mara moja. Ila nimekomaa hadi nimeanza kuweza. Tatizo uzito umeongezeka toka 82kg hadi 89. Na urefu...
  5. Babu Maziku

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Pumzika kaka ruge, wewe mbele sisi nyuma Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Babu Maziku

    New Samsung fold Ni balaa...

    Huawei mate 20 pro ni habari nyingine, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Babu Maziku

    Magufuli ndo Rais wetu - safari za nje haendi wala ziara za ndani hafanyi

    :-) haaaah haaah haaah ngoja waje Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Babu Maziku

    Smartphone aina ya HUAWEI MATE 20 PRO niuzie

    Huawei P20 pro kwa bei ya million moja. Simu ina wiki mbili tangu itumike. Anaye hitaji piga namba 0782151288 tufanye biashara chap chap Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Babu Maziku

    Smartphone aina ya HUAWEI MATE 20 PRO niuzie

    Oooh mzigo unao wa kutosha?? Nahitaji km mbili hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Babu Maziku

    Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Ukweli haufichiki. Ni swala la muda tu
  11. Babu Maziku

    Coyesa company limited

    Coyesa Co. Ltd Inatoa huduma zifuatazo: [emoji117]Tunapima Viwanja(Land Surveying & GIS) [emoji117]Tunachora ramani za Nyumba, shule, vyuo, makanisa, misikiti, kumbi, Swimming Pool, n.k. [emoji117]Tunafanya kazi za kikandarasi(Civil&Buildings Contractors) [emoji117]Tunafanya kazi za Mazingira...
  12. Babu Maziku

    Ukitaka kuoa au kuolewa usukumani, yajue haya

    Angalia tu jina afu utajua ni jina la kabila gani[emoji12]
  13. Babu Maziku

    Ukitaka kuoa au kuolewa usukumani, yajue haya

    20. Ukikaribishwa chakula ukakataa, au usipoenda kwenye shuguli za kijamii k.v misibani na harusini basi unapigwa faini (masumule) >>ng'ombe, mbuzi, kondoo au kuku. Usipokubali basi umetengwa daima :-)
  14. Babu Maziku

    Hatimaye Watanzania wajutia uwepo wa CCM madarakani

    Mkuu hapo tupo wote. #drslaathepresident[emoji106] [emoji106]
Back
Top Bottom