Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

Mkuuuu falcom kwa heshima yako tutolee haya nabas kwny list hatuwez kulala njian sku nzima kwa hiz mkokoten
Prinses muro
Metro
Saibaba
osaka




Af uliyasahau haya kwny list
Dar lux
Meridian
Tilisho
Estar
Longela
Wakat
 
Jamani mimi naomba kueleweshwa usafiri mzuri kutoka moshi Kilimanjaro mapaka kigoma.
Pia nauli mnieleweshe wakuu maana nipo huku Kenya maeneo ya nakuru. Hivyo keshokutwa nitafika moshi kwaajili ya kwenda kigoma
Upitie hapa tao mkuu uhuru park nkusabah maana watz hatuna ukabila km wakenya
 
Mkuuuu falcom kwa heshima yako tutolee haya nabas kwny list hatuwez kulala njian sku nzima kwa hiz mkokoten
Prinses muro
Metro
Saibaba
osaka




Af uliyasahau haya kwny list
Dar lux
Meridian
Tilisho
Estar
Longela
Wakat
gari kukimbia sana sio kipimo cha ubora wa bus
 

Attachments

  • IMG_20161213_150738.jpg
    IMG_20161213_150738.jpg
    158.4 KB · Views: 281
dar lux mpya zikipakiwa kwenye meli hapo juzi tayari kwa safari ya africa
 

Attachments

  • IMG_20161227_193233_163.JPG
    IMG_20161227_193233_163.JPG
    24.2 KB · Views: 179
Ki
Mkuuuu falcom kwa heshima yako tutolee haya nabas kwny list hatuwez kulala njian sku nzima kwa hiz mkokoten
Prinses muro
Metro
Saibaba
osaka




Af uliyasahau haya kwny list
Dar lux
Meridian
Tilisho
Estar
Longela
Wakat

Kisbo
Color star
Rungwe
RS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom