Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 3,877
- 3,675
UJUE KILA JAMBO NA HISTORIA YAKE
CHAGULAGA
Chagulaga ni neno la kisukuma likiwa na maana chagua
Chagulaga limeanza miaka ya 1980s hapo awali haikuwapo hii ni kutokana na kuaanza kuporomoka kwa maadili ktk jamii ya kisukuma
Mwanamke aliyekuwa kaachika ilikuwa ni mkosi sana ktk jamii hii alijulikana kama "ishimbe hivo alionekana anamkosi ktk jamii.
Baada ya ngoma kuvuka watu wakishindana iliyojulikana kama" beni" manju wengi wakiwamo akina Tagala, Ngwa'nagandela, mlyambelele, mhembo na wengine wengi walishindana kwa ngoma na kucheza.
Kwa kawaida ngoma hizi zilimalizika mda wa saa kumi jion na mshindi kukabidhiwa zawadi zake kama kawaida watu waliendelea kusherehekea ushindi na kuburudika kwa story kula vyakula vilivyokuwa vikiuzwa pamoja nyama choma miwa nk
Majopo ya wachezaji yalibaki na yawezekana yaliondoka kesho yake au baada ya kesho yake uck ulipoingia watu waliendelea kulandalanda wakiwemo wacheza ngoma wenyewe
Ktk usukuma mwanamke saa kumi na mbili alitakiwa kuwa ndani sasa ikawa inatokea wanawake wanakuwepo mpaka saa 6 uck na sio moja ya wacheza ngoma , ndipo wacheza ngoma wakaanza kuhoji mpaka saa 6 uck mwanamke uko ngoman na ww si mchezaji unachotaka ni nn? Sasa wengi wao walikuwa washimbe yaani walioachika kwa waume zao . Wacheza ngoma wakawa wanafikia uamzi kuwa hawa wanatafuta wanaume haiwezekani kuwa mpaka saa 6 uck mtt wa kike unalandalanda peke yako
Ndo wakaanza kusema hawa wanatafuta wanaume ndo wakaanza tabia ya kuwazingira na kumweka kati na kumlazimisha achague mwanaume akampe mbele aikamue basi ndo mwanzo wa chagulaga na baadae kuendelea maadili kupungua mpaka hata mchana vijana wasiojua ni nn chimbuko wanaanza tu chagulaga
Wamelikwepa hili wengi nimeamua kufunguka
Ndimi
Msukuma nisiyejificha