Magufuli ndo Rais wetu - safari za nje haendi wala ziara za ndani hafanyi

Timm Wu

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
506
1,000
Mwakani siamini kama tuna uchaguzi - maana Rais amejipa kazi ya "kunyoosha nchi" hadi ameipelekea kupinda, na 2020 hiyooo - hajatembelea mikoa mingi zaidi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa!

Lkn kila leo utasikia ama Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yuko Kigoma ama Makamu wa Rais yuko Singida - wakiwafariji wananchi kwa matatizo na hali ngumu ya maisha wanayopitia - mengi ya matatizo yakisababishwa na kiongozi mkuu!

Baada ya ziara hizo utamsikia Kassim Majaliwa anamwakilisha Rais kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi AU huko Addis Ababa, ama Makamu yupo Maputo Mozambique kumwakilisha Rais kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa SADC..

Sasa Rais wetu, ziara za ndani hafanyi wala nje hasafiri - amevuruga biashara ya korosho mikoa ya kusini - lakini badala ya kwenda kuwaona maskini wale, sasa kajikausha kama vile hahusiki - hataki kwenda kule kuonana na wakulima - watu wamekosa fedha za kusomesha watoto wao na wakulima wamedhulumiwa korosho zao; you would expect Rais afike kule to clean the mess he created.

Kajituliza zake Magogoni, ama anatengua ama anateua na kuapisha, sisi huku tunahimizwa tumwombee kwa kazi hizo rahisi za kuteua na kutengua makada wa Chama chake - nothing bigger!

Akija kutimka hapo Magogoni tutasikia yuko zake Chato - na atazungukia tena Mwanza, atazindua tena daraja la Furahisha - halaf atarudi Dar es Salaam - kutengua, kuteua ama kuapisha on live TV!

Huyo ndo Rais wetu kipenzi - mwakani siamini kama kuna uchaguzi maana mtu kajifungia tu Dar es Salaam - labda kama ana kazi ya kutafuta risiti na mpwa wake Doto James kuhusu ule ubadhirifu wa 2.4 trillion nitaelewa!

Vinginevyo atoke ofisini atembelee wananchi mikoani!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,647
2,000

Trump ni rais wa marekani, but hakuwa na sifa bora za kuwa rais! Ngekewa tu, not because he is smart! kama kungelikuwa na written exam, hata kwenye shortlisting asingelikuwepo!
 
FPT

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
952
1,000
kazi aliyopewa mhe. rais na watanzania anaifanya kwa uwezo, uaminifu, uzalendo na uadilifu mkubwa. Sauti za pongezi kutoka kila pembe ya nchi ni ishara ambayo watanzania walitaka kuiona baada ya kuinuliwa nabii wa kuivusha Tanzania katikati ya bahari ama jangwa.

uwezekano wa rais Magufuli kushinda ni mkubwa kuliko kushindwa kwa sababu watu walitaka kuona ishara nazo zinaonekana, ishara hizo ni pamoja na kupungua kwa changamoto za upatikanaji wa elimu, maji na vituo vya afya......listi ni ndefu sana ila naweza kusema zimefanyika
 
Maharo

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
3,187
2,000
Kwa kutumia jeshi nakubaliana na wewe maana hata kwenye korosho amefanikiwa kwa 99.9%
Mara zote hapa duniani kinachoangaliwa ni end results yani matokeo kama utakuwa hujanielewa na ndio kitu ambacho watu wanahangaika nacho bila kuangalia yametokeaje....ndio maana hamtoisha kulalamika maisha yenu yote :D:D:D mtapata tabu sana.
 
miwani ya maisha

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
1,739
2,000
Uongozi wa wizi wa kura,uchawi wa T.B.Joshua na kutoa kafara roho za watu.....sasa ukoo mzima unatoa kafara ndugu yake mpwa Dotto DED Itigi (Shija) naye kaua hadharani tena kwenye nyumba ya Ibada.....huko huko mpwa Shija alikoulia mtu Jiwe naye anaenda huko kuwasihi watanzania"tumuombee"!
Ni aibu ya karne......Jiwe must step down 2020
 
Maharo

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
3,187
2,000
kazi aliyopewa mhe. rais na watanzania anaifanya kwa uwezo, uaminifu, uzalendo na uadilifu mkubwa. Sauti za pongezi kutoka kila pembe ya nchi ni ishara ambayo watanzania walitaka kuiona baada ya kuinuliwa nabii wa kuivusha Tanzania katikati ya bahari ama jangwa.

uwezekano wa rais Magufuli kushinda ni mkubwa kuliko kushindwa kwa sababu watu walitaka kuona ishara nazo zinaonekana, ishara hizo ni pamoja na kupungua kwa changamoto za upatikanaji wa elimu, maji na vituo vya afya......listi ni ndefu sana ila naweza kusema zimefanyika
Hajatuangusha na tutamchagua tena 2020.
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,431
2,000
kazi aliyopewa mhe. rais na watanzania anaifanya kwa uwezo, uaminifu, uzalendo na uadilifu mkubwa. Sauti za pongezi kutoka kila pembe ya nchi ni ishara ambayo watanzania walitaka kuiona baada ya kuinuliwa nabii wa kuivusha Tanzania katikati ya bahari ama jangwa.

uwezekano wa rais Magufuli kushinda ni mkubwa kuliko kushindwa kwa sababu watu walitaka kuona ishara nazo zinaonekana, ishara hizo ni pamoja na kupungua kwa changamoto za upatikanaji wa elimu, maji na vituo vya afya......listi ni ndefu sana ila naweza kusema zimefanyika😂😂😂
 
Maharo

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
3,187
2,000
Uongozi wa wizi wa kura,uchawi wa T.B.Joshua na kutoa kafara roho za watu.....sasa ukoo mzima unatoa kafara ndugu yake mpwa Dotto DED Itigi (Shija) naye kaua hadharani tena kwenye nyumba ya Ibada.....huko huko mpwa Shija alikoulia mtu Jiwe naye anaenda huko kuwasihi watanzania"tumuombee"!
Ni aibu ya karne......Jiwe must step down 2020
Na yule babu yenu fisadi aliewaroga na pete ya Nigeria je??????
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom