Recent content by baba jallel

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Watanzania wengi wanapenda kuona mwenzake Ana Hana haribikiwa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa: Askofu Kweka, bintiye wagombea mali

    Ni mambo ya kifamilia je we unausika Ama ndio kujipendekeza
  3. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo kubwa linauzwa

    Uchizi kweli hauna dawa kwani iyo pesa unapata nyumba mbili ilala ama kariakoo ya jangwani
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Ditto Kabwe ndio nani bhana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tuachane na Forbes, nani tajiri namba 1 Tanzania?

    Davies mosha hata Mimi hanishindi awez kuwa tajiri Ila Mohamed Dewji ndio namba moja kwani angalia anafanya kila biashara you name it Mimi nakwambia kutoka kilimo mpaka viwanda pia angalia amewajiri wafanya kazi wengi kuliko mtu ama kampuni yeyote tanzania
  6. B

    JamiiForums Tanzania Weekend Story! Ugly Benny! (Get Rich Or Die Trying)

    Chozi la munyonge malipo kwa mungu Mimi sharifu wakichagga namuomba ALLAh akufanyie wepes wewe na mgonjwa wako kwani hadithi zako Zina fanya watu wapunguze stress za mjini bila kufanya dhambi maslan kulewa Ama kuzini kwa hiyo nawe Allah anakupa fungu lako kesho utalikuta peponi pia kuumwa ni...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Guys be like "Nina kazi nzuri, Gari, Nyumba, Pesa lakini sipati Mke"

    Mwanamke mi bidhaa ambayo bwana Mungu aliundaa inaupekee wa kila kitu maana mpaka ujue wanachotaka lazima upitie maneno yake Mungu Kama user menu ndio uweze angalau kuwaelewa lakin si vinginevyo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Weekend Story! Ugly Benny! (Get Rich Or Die Trying)

    Unapata dhambi pia mungu anakuona jinsi unavyotunyanyasa wenzio pia na sisi hatakuwadithia hadithi zetu tena tunapingua urafiki na wewe
  9. B

    JamiiForums Tanzania Movie gani imekubamba zaidi 2016?

    Gods of egpty. London fallen
  10. B

    JamiiForums Tanzania The Working Class, Savages in Suits

    Hizi hadithi wandika ukiwa uchi nini maana sio kwa utamu huuuu
  11. B

    JamiiForums Tanzania The Working Class, Savages in Suits

    Mateso bila chuki ***** Lara one kiboko yangu
  12. B

    JamiiForums Tanzania The Working Class, Savages in Suits

    Kiduchu sana bhana
  13. B

    JamiiForums Tanzania The Working Class, Savages in Suits

    Lara utawauwa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

    Count down inasema bado dakika 15 kamili dadadeki tushakuwa mateja hapa turipo ni alosto mbaya mpaka lara1 aje tutakuwa tushaanza kujikuna nakuharisha
Back
Top Bottom