Hahaha umelalamika mpaka umenichekeshaUnapata dhambi pia mungu anakuona jinsi unavyotunyanyasa wenzio pia na sisi hatakuwadithia hadithi zetu tena tunapingua urafiki na wewe
wanaume responsible kama sisi tunatakiwa tuwe tumeshaelewa mpaka sasa.
kama vip tukachukue tu wembe na mkasi tukafeke njia bana
tumejaribu kujiongeza but whereNashangaa kwanin hamjiongez mpaka sasa plss
tumejaribu kujiongeza but where
kuna utaratibu tu kule... si lazima upewe namba... unakwangua tu vocha unaweza namba za vocha kama smsAaaha bana mfate huko pm akupe namba