The Working Class, Savages in Suits

The Working Class, Savages in Suits

Anthing is possible under the sky!

Linda machozi yakamtiririka tu, akaapa yeye kwa gharama yoyote atakuwa HOM, ili yeye wala Ronny wasimsujudie mtu tenaaa.

ITAENDELEA KESHO SAA 5.

Episode zinaisha kabla ya kuanza
 
I see, so now HOM is talking about " HUMANITY "....ok. Ila Ronny ananishinda tabia mimi jamani. Linda naye kama Karudi kwenye kujitambua hivi...
 
I see, so now HOM is talking about " HUMANITY "....ok. Ila Ronny ananishinda tabia mimi jamani. Linda naye kama Karudi kwenye kujitambua hivi...

Ronny anakushinda Tabia aje Sasa? Hahaaa! Twende mbele turudi nyuma ofisini sisi walalahoi tunanyanyasika mpaka basi. Looohhh! Kama huna roho ya Ronny unaacha Kazi.
 
Ronny anakushinda Tabia aje Sasa? Hahaaa! Twende mbele turudi nyuma ofisini sisi walalahoi tunanyanyasika mpaka basi. Looohhh! Kama huna roho ya Ronny unaacha Kazi.
Aaah Ronny namuelewa mnooo. Hahaah kwa kweli maofisini shughuli si haba, na kukubali kuwa mnyonge inahitaji moyo, ndo kuwa treated kama kikopo cha chooni mmmmh
 
Pusha nimekuja jamaniii
Tatizo siyo ufupi, ni utamu wa story. Unajua movie ikiwa kali inaisha ukiwa bado na hamu ya kuiangalia.

One more episode nitaandika usiku huu, kuna mtu adai Ronny kamliza usingiz umemkatikaa, so nimpe moja walau asahau yaliyomkuta Ronny! Hahahaaa,
 
Hahaaaaaa! Hio ukipewa bila kushurutishwa na MTU yoyote. Ukiwa Na akili zako timamu utaingia Dukani kulipia IPhone Six Plus Na kwenda kumuhonga aliekupa hio style. Ni hatari sanaaa. Weka mbali Na wallet
Duh...inabidi kujifunza hii,siku ya siku nikiwekewa hii ntie mgomo kuishiriki kabla sijaibiwa live huku najiona
 
Hahaaaaaa! Hio ukipewa bila kushurutishwa na MTU yoyote. Ukiwa Na akili zako timamu utaingia Dukani kulipia IPhone Six Plus Na kwenda kumuhonga aliekupa hio style. Ni hatari sanaaa. Weka mbali Na wallet
Na je popo kanyea mbingu ndo ipi tena jaman
Kuuliza hakujawahi kuwa ujinga
 
Keep your friends close and your enemies closer!

Ronny akampigia Linda, aisee nimejaribu kufanya makaratekaa huku wakurudishe ila imeshidikanaa, jikaze tu baby. Hakumwambia ya kusujudia watu. Linda akamwambia naendelea vizuri kseho maybe nitaenda tena road. Basi Ronny akawa very concerned. Mara oooh nimeongea na Dr flani kaniambia dawa hizi ni boraa, Linda akamtoa shakaa.

Usiku HOM akawa kaja kumuona, nae hajasema mambo yake ya kumgomea HR kumrudishaa, akamuuliza naendeleaje, akajibu tu nakufaaaa! Khaaaaaaaaaa! Si kwa jibu hilo HOM akatabasamu tu, akamwambia Asha huyoo kakwambia. HOM akamwambia inasikitisha sanaa, nasikia Ronny kaenda kusujudu hukoo. Linda akaerekaaa n kauli ileee, nusra nusra almanusraa ile nusraa amtukane boss wake HOM, ila akaamua tu kumdhihaki. Kwa hio wewe na majini watu wenzio mmefurahi kabisaa binaamu mwenzenu defenceless kuwasujudieni, miungu watu?

HOM akamwambia kiukweli nimestukaa, na kuhuzunika, najua you must be feeling something for that guy, i dont want to break your heart but he is weakling, he has always been a weakling, he will always be a weakling. In this life if you want anything YOU TAKE IT. That is the only way you gonna have it. Mimi nimekuja pal junior, in a year i made it to HOM, now im thinking other ventures, lakini other wise next year i would have made it to director. Do you think it was easy? No! Do you think they gave me opportunity no? I laways took my chances, it was idea, after idea, hardwork, devotion, ambition, greed, determination by the toime of 9 months people started recommending me for HOM, People started saying i deserve the position. Not me, other people and i never fell short of their expectation.

Lets talk Ronny, Linda akamwambia im not interested, HOM akaendela, he is stuck in CS for years, being HOCS bitch year by year. Pathetic! What has he done about it? Nothing! Sitting there victimising himself. SAD! Fine watu wa wote wa ofisini watasema boss wake mbaya, it is not godd enough! Haimsaidii Ronny kitu. After all there are ways to deal with a bad boss, Quiting is one of them, angeenda kutafuta kazi pengineee. Kajibweteka tu pale, playing victim to his boss. Inaumaaaaa. Woga wa kukosa kazi, ukosfu wa mawazo, luck of dtermination, ambition vina mcost. Mimi nitaondoka na kumuacha pale pale anaozeaaa.

Linda akanyamaza kimyaaa, aseme nini sasa. HOM akaendelea naomba ni clear my interests, im interested in you, not as a friend, more, relationship serious, to be specific i want you to be my wife. Linda akaccheka Hahahahaaaaaaaaaa! Kweli una nyege maneno yote hayo, upate maku tu! Loooh! HOM akaendela in my life whatever i want i get manake sikubali kirahisi kushindwaaa, and now i want you for me forever, i know what i want and i am not afraid to tell you or the whoe world.

Najua hutonipenda kama Ronny, but mimi nakupenda that is enough for me, I am hard working, will give you life Ronny can never ever dream of, natafuta hela vibay mnoo, i can get you a car of your dreams, house of your dreams, anything you want, whenever you want, watoto wetu watasoma shule za nj kitaka. Whatever you want you get, i will give you. Sio wanawake wengi wanapata bahati hii maishani. Ila imekufikia wewe.

Soon naondoka naanzisha kampuni yangu mimi kama mimi, sio manager tenaa, owner, capital kila kitu kipo sehemu yakeee, come with me, i will make you head of marketing, we can build empires together, Infinity life, explore cities, whatever life you want. You can start as a manager nikikuoa unakuwa co owner.

Linda akamuuliza why sudden change of heart? Kumpenda huko ghfla vepeeeeeeeeeeee? (Kama kweli maana HOM ni yule yule)
HOM anamwambia it was love at first site, sema hakujua what was it. Maana anakumbuka kumsimamisha CFO corridor na kumpiga mkwaraa sio jambo dogo, tena kumuattck waziwazi kuwa Linda mdogo kwake, alienda ofisini tumbo likamchezaa nusu saa. Again akapata hizo balls kumgomea kutoa speech labda kama akienda na Linda nao ujasiri, manake ki career yule kama baba yake sio kwa kumdindia kule. Akawa ahaelewi WHY, anahahaaa manake alimkumbusha CFO hilo swala mara hata 5 wakati simu yake kila siku lazima ajitongozeshe baby mpyaa, wazuri hatarii, Linda is so plain compred to the chicks in his inbox,

Alivofanya kumpost, baada ya hapo ndo akajua ashamuelewa demu, maana alikuwa chakula hakipiyi, pombe hashukiii, kama anatamani kufaaa, wakati kupost ndo kawaida yake. Tangia hapo akawa anajitahidi kujisahaulish that night together wapiii, akitoka na Ronny anachungulia dirishaniii. Akaamua kumuajiri Vicencia sababu ni mzuri sanaa kajua atamsahau, wapii haijasaidia kitu. Joy alivokuwa anamtext yani anatami afanye ubaradhuli wake lakini roho haipo kabisa. Hapo kumleta yeye Linda kwenye tour imebidi amlipe Asha hela zote za tour kama ofisi, hela binafsi, na kumpooza CFO na cha juu ndo wakakubali Linda aende

Na toka yuko na Linda amepata amani, na Linda anamfanya ababaike, akose maamuzi, ajishutuke, awaze mara 3 afanye kitu au asifanye kitu ambacho kwa wasichana wengine hata hajigusiii kabisaa. Anachotaka wawe tu hata marafiki kwanza, he will wait for her mpaka awe ready, ila nia katangaza mapemaaa ya kutaka mke, sio baadae aambiwe sikujua kama unanipendaaa. Looooh!

Linda akamwambia bwana hizo akili za usiku nenda kalale, hii shinda wote field ina ku affect. Kesho akiwa field akamtext Ronny, una plans gani za maishaa? Ronny akajibu mimi namuomba Mungu anifungulie milango nipande kazini? Mmmmmh! Akamtext tena maybe usipopanda this year what will you do baby? Ronny akamjibu nitavumilia tu baby iko siku, Mungu ni mwemaaa, mimi ni mvumilivu sanaaa. Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mmmmmh! Akona hio nayo shughuliii.

Akawa amekaa zake field anatafakari, akaja HOM na Ipad, akawa anamuonesha kampuni yak sasa, logo, website, kila kitu tayari, memorrandum, article of association tayari. Mzigo ahsagiza China, akamuelekeza mpaka marketing pln yake na jinsi hela zilivo nje nje. Linda akachokaaa mwili na rohooo!

Akawaza tu isije kuwa HOM anani tombaa mawazo na kunifilla akili, hashindwi huyuuuu! Hahahahaaa! Ikawa kamuachia ile Ipad amshikie, akaamua asome whatsup, ndo ugonjwa wake kusoma hizi simu za watu tangu Moro. Akakuta text za icencia zinambmblezea HOM maku! Khahahaa! Bababy njoo untie, tobaaa! HOM anapunch tu, ana zunguka mbuyuuu. Akawa anasoma convo zao, basi HOM anamwambia kuna mwanamke nampendaaa, aniumizaa kichwa kishenziii, nikimpata namuoa sizungukiii. Valencia anajibu hata mimi mwanamke, nichukue mimi please! Loooh! Akaona sasa hili balaa kubwaaa.

Akaona convo za Joy na HOM, last ilikuwa jana yake, akastukaa kumbe wanawasiliana, basi akaanza kusomaa, HOM anamwambia amfanyie Joy mpango kwake, Joy anamwambia siwezi, i cant hato nielewaa, Basi HOM anamuuliza kwani what does she like, interest zake nini,hivo Joy anapakua file tuu. Loooh! Basi hata ya hospital kamwambia Joy, she was sick nimempeleka hospital, stayed with her all night, it was best day ever, mara now we are talking naanza kumzoea, nimemwambia i want her hajanikatisha tamaa hivooo. Akafunga ile Ipad, akatulia kwanza kuwazaa

Akaona hataaaa, kwanini anipe hii Ipad niishike, too much coincidence. Huyu atakuwa ananitombaa mawazo na kunifilla akili Period! Akafanya maamuzi magumu.

ITAENDELEA KESHO SAA 7.
 
Ndo kusema HOM atakuwa kama KLM au???????? Ka Ronny kanatia huruma maskini, "Mungu ni mwema, mimi ni mvumilivu sana"
 
Back
Top Bottom