Weekend Story! Ugly Benny! (Get Rich Or Die Trying)

Dah lara 1 we, rudi yanga wamesharudi kuongoza ligi simba walikaimu kwa muda tu teh teh rudi mama we
 
alafu hii story kama nazungumziwa mimi vile, maana sie kina mudy tunapenda sana kuwa wakwanza wakwanza. yaani shuleni namba zetu ni wakwanza wakwanza, mademu wazuri sie ndio wa kwanza kung'oa, timu yetu simba ndio ya kwanza, kufanikiwa kimaisha sie ndio wakwanza. njoo lara uendelee nijue mwisho wa swahiba yangu mudy.
 
Lara 1 birthday leo mamaa , hongera sana , mambo ya 30's hayo
 
Dah lara 1 we, rudi yanga wamesharudi kuongoza ligi simba walikaimu kwa muda tu teh teh rudi mama we
Shostiiii, kwa shangwe la Yanga niliandaa bonge la story. STORY OF ALL STORIES. Characters 6, 3 wakike, 3 wakiumee. Acha kabisaa.

Kilichotokea HG wa yule mgonjwa wangu niliewaambia nauguza katoroka kaacha mgpnjwa na watoto 2 mmoja mwaka mwengine 5. Ndo nauguza na kulea hapa, kazini mechukua likizo.

Nitarudi lakini, Mungu akitujaalia.
 
Ahh pole sana dada lara
 
Duh pole sana bidada, Mungu akufanyie wepesi na mgonjwa apone pole mamito kwa kuuguza naijuaga hiyo shughul pevu
Mungu amponye mgonjwa wetu, inshaallah akufanyie wepesi pia
 
Shostiiii, kwa shangwe la Yanga niliandaa bonge la story. STORY OF ALL STORIES. Characters 6, 3 wakike, 3 wakiumee. Acha kabisaa.

Kilichotokea HG wa yule mgonjwa wangu niliewaambia nauguza katoroka kaacha mgpnjwa na watoto 2 mmoja mwaka mwengine 5. Ndo nauguza na kulea hapa, kazini mechukua likizo.

Nitarudi lakini, Mungu akitujaalia.
Pole sana bidada,Mungu akusimamie.
 
Shostiiii, kwa shangwe la Yanga niliandaa bonge la story. STORY OF ALL STORIES. Characters 6, 3 wakike, 3 wakiumee. Acha kabisaa.

Kilichotokea HG wa yule mgonjwa wangu niliewaambia nauguza katoroka kaacha mgpnjwa na watoto 2 mmoja mwaka mwengine 5. Ndo nauguza na kulea hapa, kazini mechukua likizo.

Nitarudi lakini, Mungu akitujaalia.
Kama Yanga Wamerudi KILELENI Bas Lara Will Be SQUIRTING Kabisaaaa.
 
Shostiiii, kwa shangwe la Yanga niliandaa bonge la story. STORY OF ALL STORIES. Characters 6, 3 wakike, 3 wakiumee. Acha kabisaa.

Kilichotokea HG wa yule mgonjwa wangu niliewaambia nauguza katoroka kaacha mgpnjwa na watoto 2 mmoja mwaka mwengine 5. Ndo nauguza na kulea hapa, kazini mechukua likizo.

Nitarudi lakini, Mungu akitujaalia.

Pole sana kuuguza plus kulea, inshaaalh m/mungu amponye mgonjwa wetu haraka uje utupe vitu.
 
Shostiiii, kwa shangwe la Yanga niliandaa bonge la story. STORY OF ALL STORIES. Characters 6, 3 wakike, 3 wakiumee. Acha kabisaa.

Kilichotokea HG wa yule mgonjwa wangu niliewaambia nauguza katoroka kaacha mgpnjwa na watoto 2 mmoja mwaka mwengine 5. Ndo nauguza na kulea hapa, kazini mechukua likizo.

Nitarudi lakini, Mungu akitujaalia.
Aiseee fanya urudi lara 1, tunamiss story zako.
Tunamuombea kwa Mungu, mgonjwa wako hali yake izidi kuimarika.
 
Chozi la munyonge malipo kwa mungu Mimi sharifu wakichagga namuomba ALLAh akufanyie wepes wewe na mgonjwa wako kwani hadithi zako Zina fanya watu wapunguze stress za mjini bila kufanya dhambi maslan kulewa Ama kuzini kwa hiyo nawe Allah anakupa fungu lako kesho utalikuta peponi pia kuumwa ni sehem ya Ibada kwani kila mwenye kuumwa yupo karibu na mungu usipate simanzi Ila kikweli to roho kuuuuma
 
Back
Top Bottom