Tuachane na Forbes, nani tajiri namba 1 Tanzania?

Kuwa tajiri mpaka uwe na vigezo gani ndo ufikie hatua hiyo, naona hata mimi naelekea kuwa...
 
Ule uwezo wa kutoa mil 100 kwa kila timu tu nikamnyooshea mikono,achilia mbali vinywaji,unga,bites na milori isiyo na hesabu jumlisha bandari kavu,vyombo vya usafir,mikampuni iliyojazana kila kona jamani huyu mtu hakuna haja ya kumfananisha na wengine.
 
Kabla hatuja jadili mbona list yako ina watanzania watatu tu sasa tunajadili hata wasikua watanzania? Toa kwanza hao wahindi wa India na Canada then tuanze kujadili
 
Tajiri mkubwa ni mimi wewe na wengineo ambao bado tunapumua siku Mungu akichukua uhai wetu utajiri wetu utakuwa umekwisha kitu pekee cha dhamani ambacho hakinunuliwi ni uhai.

Acha kujipa moyo na kumsingizia Mungu hapa jibu swali wenzio waliokuuliza, uhai ni given endelea baada ya kupata uhai we unao uhai unambwela mbwela wenzio wanajituma 24/7 with entrepreneurial traits kibao bado unalingia uhai ambao hauna control nao?
 
Davies mosha hata Mimi hanishindi awez kuwa tajiri Ila Mohamed Dewji ndio namba moja kwani angalia anafanya kila biashara you name it Mimi nakwambia kutoka kilimo mpaka viwanda pia angalia amewajiri wafanya kazi wengi kuliko mtu ama kampuni yeyote tanzania
 
Wale wazungu wasitupangie nani tajiri namba moja nchini kwetu. Hebu wenyewe tujadili kati ya hawa nani namba moja?
1. Yogesh Manek
2. Mustapha Sabodo
3. Reginald Mengi
4. Salim Bakhressa
5. Mohammed Dewiji
6. Yusuph Manji
7. Ali Mafuruki
8. Rostam Aziz
9. Jeetu Patel
10. Fidal Hussen
11. Davies Mosha
12. Oilcom
"Mkuu kuna mgao nini?"
 
"
Davies mosha hata Mimi hanishindi awez kuwa tajiri Ila Mohamed Dewji ndio namba moja kwani angalia anafanya kila biashara you name it Mimi nakwambia kutoka kilimo mpaka viwanda pia angalia amewajiri wafanya kazi wengi kuliko mtu ama kampuni yeyote tanzania
"Dewji keep it up"
 
Acha kujipa moyo na kumsingizia Mungu hapa jibu swali wenzio waliokuuliza, uhai ni given endelea baada ya kupata uhai we unao uhai unambwela mbwela wenzio wanajituma 24/7 with entrepreneurial traits kibao bado unalingia uhai ambao hauna control nao?
Nimejibu kulingana na uelewe halafu sio kazi yangu kujua nani tajiri na nani ni masikini nyie vijana msio na kazi ndio mnakaa vijiweni kuwajadili hao watu.
 
Back
Top Bottom