Plot4Sale Eneo kubwa linauzwa

Rydon Jovial

New Member
Dec 14, 2015
1
0
Eneo linauzwa haraka,Lipo Kinzudi Goba,
Ukubwa- 9,276square metres,
Kimepimwa,
Kuna nyumba kubwa ambayo haikumalizika yenye umeme na Kisima cha maji ya chumvi,
Bei yake kila kitu ni Tsh850,000,000/=mazungumzo yapo,
Kwa atakaehitaji wasiliana na namba hizi 0713934683 au 0758585864
 
Eneo linauzwa haraka, Lipo Kinzudi Goba,
Ukubwa- 9,276 square metres,
Kimepimwa,
Kuna nyumba kubwa ambayo haikumalizika yenye umeme na Kisima cha maji ya chumvi,
Bei yake kila kitu ni Tsh 850,000,000/=mazungumzo yapo,
Kwa atakaehitaji wasiliana na namba hizi 0713934683 au 0758585864
Sqm 9,276 ukitoa barabara na sehemu ya kuchezea tufanye labda ni Sqm 1,000
Hapa zitabaki Sqm 8,276.
Sasa hizi ukizipima ukauza viwanja kwa pale goba kila Sqm waweza kuuza labda Tshs 20,000/=mpaka Tshs 30,000/= kwa 1sqm
Kwa hiyo hizi Sqm 8,276 ukiziuza kwa Tshs 30,000/= kwa kila Sqm 1 utapata Tshs 248,240,000/=, kabla hujatoa gharama za kupimia.

Sawa Mkuu nimekupata
 
Uchizi kweli hauna dawa kwani iyo pesa unapata nyumba mbili ilala ama kariakoo ya jangwani
Yaleyale ya wajanja kununua ekari moja kwa laki nne, na wao kuja kuuza kwa milioni 32.
Japo amedai kuna nyumba kubwa yenye umeme na kisima cha maji chumvi
 
Eneo linauzwa haraka,Lipo Kinzudi Goba,
Ukubwa- 9,276square metres,
Kimepimwa,
Kuna nyumba kubwa ambayo haikumalizika yenye umeme na Kisima cha maji ya chumvi,
Bei yake kila kitu ni Tsh850,000,000/=mazungumzo yapo,
Kwa atakaehitaji wasiliana na namba hizi 0713934683 au 0758585864
850,000,000/=haaa napata nyumba nzuri na eneo kubwa oysterbay au mikocheni
 
Yaani bei yake ni 91000 kwa sqm 1
Huo wehu tena goba khaaaa
Muwe mnakuwa serious basi hivi huwa mnaota nini hadi mlete hizo bei hapa?
Ukikiuza kwa zaidi ya 100mil hongera ila najua hukiuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom