Jamani hivi vitu vingine vya mitandaoni mviache huku huku....mtakuja kutuua mpate kesi bureee@lara1 na mm nataka izo tecniques alizopewa Anny,napanga mechi ya mashambulizi hapa!! Itabidi nikupm unipe in details
Hahahah hapana.. mpake afe mtu ndo tutaacha kujaribu labdaJamani hivi vitu vingine vya mitandaoni mviache huku huku....mtakuja kutuua mpate kesi bureee
Naona umemua kumpa point za bure ndugu yako Mangi ili awatote kimasomaso watu ule mkoa wenye mlima mrefu Africa...ila najua next episode lazma apate tumbo la kuaharisha tena unless umpe promo tena...Team KLM rocksTeam KLM inapoteza watu. Watu wamerudi kwa Mangi
Mimi timu KLM, achana na mangi anajikoki karanga mihogo matokeo yke tumbooo....!Team KLM inapoteza watu. Watu wamerudi kwa Mangi
Part II ipi tena mkuu?Nasubiri kwanza part II, ili nisome zote.
Lala atakuwa huyo SiscaLala moko ni kiboko..daah!! yani anavo andika utafikiri yumo ndani ya muv yani wakati mwingine huwa nahis sijui ni yeye ndio muhusika thn anabadiri majina tuu..hahhaa!!
Hatimae saa kumi imefika l,nlkuwa naisubr kwa hamusaa 10 hii