Movie gani imekubamba zaidi 2016?

Movie gani imekubamba zaidi 2016?

Kitu cha dead pool..

Tunasubir
Captain America civil war
Suicide squad
Batman vs superman
London has fallen
Gods of egpty
Xmen apocalpypse
jason bourne
the jungle book

Hizi movie hatar tupu mwaka huu
Aisee ngoja tuzisubiri
 
upload_2016-3-7_18-39-7.jpeg

With the aid of a fellow Auschwitz survivor and a hand-written letter, an elderly man with dementia goes in search of the person responsible for the death of his family. Remember (2015) - IMDb
 
Nimeicheki trailer iko pouwa ila naona waingereza wamerusha madongo kuwa ni replica ya Olympus. Am saving the date 16 March 16.
M counting,tena ntaenda za buku tano tano apo mlimani city........ht wakirusha madongo,ni extended version ya Olympus,watu wale wale,issues maybe ndo tofautiiiii
 
cheki series ya Tyrant utaikubali

Hii series Tyrrant naona ni nchi ya kufikirika ya Iraq, ila huyu actor Dokta aliyelowea Marekani amekuwa haelewi jinsi baba yake na maswahiba yanavyoendesha utawala wa nchi kifamilia zaidi. Ni series niliyoipenda pia.
 
Mpaka sasa hii movie ya In The Heart Of The Sea ndiyo bora kwangu, huchoki kuitazama na story yake iko vizuri sana kwa maisha ya kila mtu.
Chris Hemworth (Thor) kacheza vizuri sana humu.

Bado naisaka IP Man 3

This one imenivutia.... nitaitafuta
Niangalie....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom