Recent content by Baba Dorcas

  1. B

    Chadema sasa chakomaa kisiasa- Arumeru Mashariki!!

    Naongea km mmeru na mpiga kura pure kutoka Mchai, yan km ccm mnajpenda jarbun kuchukua hl jmbo kwa wiz na nguvu km mlvyozoea! Hak ya nani, sjui huyo sioi wenu atawaöngoza akna nani! Kwanza ccm mme2tusi, ha2itak ccm yenu mbona hamna hamskii...? Kwel nyie n hamnazo! Vilaza tupu, si msome alama za...
  2. B

    Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu.

    Acha wivu! Jibu ulchoulzwa!
  3. B

    Mgombea CCM kutojipigia kura Arumeru Mashariki

    Npo safarn kuelekea Mwanza bt lazma tr 1 nwe nsharud Arumeru il kumpa tiki dogo! Bravo cdm!
  4. B

    Yaliyo nipata jana na valentine wangu

    Mi sjaenda huko! Ila nikuulze minor question tu! Hiv huna kwako mpaka uende huko kwenye nyumba za wagen? Namwonea huruma huyo valentn wako! Pole sn kwa kutokua na kwako.
  5. B

    Tujikumbushe Vinywaji vya Asili Yetu

    Duh uku hakuna waha nin? Kwetu ni kwete, wanzuki na mraha kwa kwena mbele!
  6. B

    CCK yaingia Arusha kwa kishindo

    Ingieni kwa adabu la sivyo mtarudi kwenu! Hii ni Arusha kwa Mhesh Godbless Jonathan Lema! Njoni mkiwa wachafu mtarudi mkiwa safi na mmekwatuliwa fresh! Nastikitika tu kuwambia kua tayar tushafanya uchaguzi wa Mbunge, nae ni Mhesh Nassari, CDM ishamptisha, na raia wote washasema NDIYO apite...
  7. B

    Mwalimu wa somo la computer

    Pole sana ndg yangu, ma frnd Fredy, Makumira 2me2pwa comptr science akuna ata m1 amechukuliwa! Mi namshkr Mungu nmepata job kwny NGO ya compassion ngaz ya ukurugenzi uku uku Arusha, so ualimu nmeuweka kando kwanza! Vp ujapata mchongo wowte uko? Tito.
  8. B

    Kumekucha Arumeru

    Acha uongo ndg yangu, mi mbona ni mwenyej wa mitaa hyo na hakuna hyo mambo? Af ungejua ccm ilvochakaa mitaa hii, ungekaa kimya kabsa, kilala na makumira na usa river na mchai ndo usjarib kutaja ccm wala kuvaa kijan na njano! Nyoooo.... Mwone.!
  9. B

    Hatukubali kufanya kazi na madaktari wa jeshi-wauguzi muhimbili wanena

    Ha2jui! Lakn ukwel wa mambo unazd kuonekana hata ambae hakuamin ataamin!
  10. B

    Mgomo wa Madakitari Kuimarisha Afya za Watanzania!.

    Salute! I honor u majesty! U r a grit and upper most grit thinker! Kip it up thnking!
  11. B

    Hatukubali kufanya kazi na madaktari wa jeshi-wauguzi muhimbili wanena

    Yaliyonenwa na Nabii TB Joshua wa Emmanuel Ministry wa Nigeria yameanza kutimia! Naomba kumunukuu "Nimeona nchi fulani East Africa inayotegemea kuwa na uchaguzi mkuu tr 30 octb 2010, nkaona chama pinzani kikishinda kwa kuwa na kura nyng kuliko chama tawala LAKINI chama hicho tawala kimefanya...
  12. B

    Natamani kufanya kazi usiku na kupumzika mchana

    Kaulize wachawi il mbadilshane shift.
Back
Top Bottom