Hatukubali kufanya kazi na madaktari wa jeshi-wauguzi muhimbili wanena

Kama wewe hauna taarifa sahihi ya kukanusha hiki alichoripoti wewe unawashwa na nini? wewe kama umeweza kumuona mwenzako anafuatilia sana huu mgomo na wewe ulikuwa unamuonaje kama hamfuatilii wote?
Huu ni unafki.
hilo nalo neno (penye red)
 
Nimedhalilishwa sana na kufadhaishwa sana na kauli ya mheshimiwa waziri mkuu Mizengo Peter Kayanza Pinda, laiti angalijua...asingalisema aloyasema kuhusu JWTZ na JKT kuziba pengo la madaktari watakaojifukuzisha kazi kwa kugoma kurejea kazini...AMANDLA AWETU, UMKHOTO WE SIZWE...AMANDLA!!!
 
nimetoka kusikiliza tbc sasa hivi wamesema kuna madaktari leo wameitikia wito wa PM na wamerudi kazini, baadhi ya madktari hao ni kutoka mkoa wa dodoma
 
JB ni mshabiki hatari sana wa siasa za kimanamba.
unaelezeaje ushabiki??siasa ziko wapi ?ina maana TBC wanadanganya.tusidanganye umma,tusolve tatizo na sio kuzunguka mbuyu au kutafuta nani mbabe.
 
Wanamatatizo gani hawa madr na wauguzi?
Wanachagua watu wakufanya nao kazi
Si sawa!
 
nimetoka kusikiliza tbc sasa hivi wamesema kuna madaktari leo wameitikia wito wa PM na wamerudi kazini, baadhi ya madktari hao ni kutoka mkoa wa dodoma
ni kweli hata muhimnbili walifika,tatizo hawajafanya kazi.amri ya pinda ilitekelezwa lakini inabidi atoe nyingine na aseme muende kazini na mtibu.
 
Kuuzunguka mbuyu ni rahisi, kazi ni kuukumbatia na kukutanisha mikono!!!!

Kwa hili naamini kabisa serikali haitakiwi kuuzunguka mbuyu ambayo ni rahisi bali kukutanisha mikono.

Leo ilikuwa ni siku ambayo watadr. waliitumia kama deep stick lakini naamini kesho na siku zijazo tutasikia habari ambazo siyo njema sana masikio mwa watu.
 
JB ni mshabiki hatari sana wa siasa za kimanamba.

Hata neno jihadi badi halieleweki nini tafsiri nzuri baina ya nchi za Kiislaam au Mujahidina na nchi za magharibi.

Kwa mantiki hiyo kutomuelewa JB kuhusu uchangiaji wake inatokana na mlango uliokalia wewe unakuruhusu kuona siasa ni nini? Kwako kila anayepinga CCM unaona kama kichaa na mwanaharamu anayetaka kukuharibia ulaji wako na kizazi chako ambacho bila ya shaka kipo neemani kutokana na serikali ya kifisadi.
 
niko kwenye field nimeliona na kulisikia hilo.au unasubiri t.b.c wakuletee taarifa unazozitaka?

hata msemaji wa manesi kasema hawako tayari kufanya kazi na madaktari walio chini ya viwango kutoka majeshini. Bbc swahili service leo jioni.
 
JackB umekua ukikazana sana na mgogoro huu hata sijui hizi tarifa unaziokotea wapi? nahisi unapelekeshwa na nguvu ya ziada ya ushabiki,hao manesi waliya sema hayo wapi na lini?

Wewe nadhani umefungiwa na hao magamba, unarushiwa chocolate na kuwahudumia kotekote, ndo maana unaibuka tu kuropoka na kuvutwa tena. Na hutakaa pata habari kwa hayo maisha.
 
hata msemaji wa manesi kasema hawako tayari kufanya kazi na madaktari walio chini ya viwango kutoka majeshini. Bbc swahili service leo jioni.

Serikali ipo katika wakati mgumus sana na ikitokea mgomo mwingine tena nchi itabidi itangaze hali ya hatari.

JK hapo alipo anawalaani CDM kama ndiyo Madr.
 
Critical problem emanated by idiot politicians need desperate measure. Doctors keep on striking mpaka kieleweke!
 
Eti waziri mkuu 'amewataka', eti 'wameitikia wito wa waziri mkuu'. Kwakweli mimi huwa sielewi hizi lugha kabisa............ utafikili Pinda ni mtume lol.........
 
Back
Top Bottom