Mwalimu wa somo la computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa somo la computer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tinaalfred, Feb 2, 2012.

 1. t

  tinaalfred Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wa jf kwa yeyote mwenye shule, chuo au taasisi yoyote kama mnahitaji mwalimu wa computer
  aliyebobea katika course zote kwa kumaliza shahada ya ualimu kwa somo la computer tuwasiane email simpolialfred@gmail.com
  phone: 0762578195
   
 2. B

  Baba Dorcas Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndg yangu, ma frnd Fredy, Makumira 2me2pwa comptr science akuna ata m1 amechukuliwa! Mi namshkr Mungu nmepata job kwny NGO ya compassion ngaz ya ukurugenzi uku uku Arusha, so ualimu nmeuweka kando kwanza! Vp ujapata mchongo wowte uko? Tito.
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sasa ni kujisifu, au mnafahamiana?
   
 4. B

  Baba Dorcas Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayakuhusu!
   
Loading...